Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda ni zaidi ya hayo. Kuna jamaa alilazimika kufunga ndoa na mwanamke kinywa kama cha ngiri. Lengo apate scholarship kusoma udaktari uingereza.
Aliporudi akawa anaishi nae kama kaka na dada huku jamaa akiwa na kimada super kitaa.
Mungu lazima atende miujiza kama alivyotenda kwa huyo dada 🙏Kama huyo kaolewa, basi lazima Dada yangu Eastery Nyagawa a.k.a Mama Kadawa aolewe kabla mwaka huu haujaisha
Heshima yako mkuu [emoji120][emoji120]Tatizo leni mnamtizama jamaa kwa alivyo kijana na kapendeza
Sasa kama huyo mmama, ndo kamtoa ktk uvutaji wa bangi, lets say kamtoa ktk uokotaj makopo, kisha akaamua kumbadilishaa, jamaa akapendeza, akamtafutia nakibarua, mahali pazuri pa kulala, ..... Kipi amlipe uyo mama ukizingatia mmama yupo singo???
Unajila tuu unaamua Kuoa .... Sasa vibinti umri saizi ya mchizi, vikimuona sasa hivi kapendeza ,utasikia
[emoji117]Mkaka mzuriiiii kaoa Mama yake.
Lkn mchizi alivyokua anasotaa msoto wa maisha ,vilisemaaa
[emoji117]Mkaka mzima na akili unaokota makopo hadi ananuka
Jamaa Oa tu Mdau
Kautafiti kako umekafanyia wapi Demisswanawake wanene eeeh wana kitu kinabana hatar
Asa mbona kanuna sanaHaamini kama kapata chombo cha ukweli mbele ya wanawake wenzake wazuri
Hakimuachi mtu salama ka report ya CAGHapo kuna mmoja katumia ndumba!
#libwata sio kitu kuzuri!