Ama kweli mapenzi niue

Ama kweli mapenzi niue

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,413
Hivi huyu mchizi kafuata mapenzi kweli,au analo jambo?.Siamini ninachokiona.
IMG_20190426_171153.jpg
IMG_20190426_171200.jpg
 
Huyu lazima kuna kitu si bure huenda mother ana mshiko ile mbaya au mganga wake alimwambia huyo mwanamke atakusaidia kufanikisha sana maisha yako, au mzazi wa huyo mama ana cheo serikalini sasa anatakiwa apandishwe cheo kikubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom