Tatizo leni mnamtizama jamaa kwa alivyo kijana na kapendeza
Sasa kama huyo mmama, ndo kamtoa ktk uvutaji wa bangi, lets say kamtoa ktk uokotaj makopo, kisha akaamua kumbadilishaa, jamaa akapendeza, akamtafutia nakibarua, mahali pazuri pa kulala, ..... Kipi amlipe uyo mama ukizingatia mmama yupo singo???
Unajila tuu unaamua Kuoa .... Sasa vibinti umri saizi ya mchizi, vikimuona sasa hivi kapendeza ,utasikia
[emoji117]Mkaka mzuriiiii kaoa Mama yake.
Lkn mchizi alivyokua anasotaa msoto wa maisha ,vilisemaaa
[emoji117]Mkaka mzima na akili unaokota makopo hadi ananuka
Jamaa Oa tu Mdau