Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,334
Yanamwisho wake daaa shikamoo pesa yaani naona aibu mm hawa mama zetu wanapoelekea sjui wapi
Huwa naambiwaga mwanamke hanaakili basi leo nimesadiki.
Na hao wanaongalia nao vipi, zimo? Acha kutukana wanawake kwa kila unaloliona limepostiwa na wanaume. Ningefurahi kuona JF inaondokana na huu mfumo dume wa kudhalilisha wanawake. Hata kama huna dada lazima unaye mama, hao nao ni wanawake.
Huwa naambiwaga mwanamke hanaakili basi leo nimesadiki.
Na ------- ni wanaume.tuseme wanaume wote....
Usitutukanishe...wanaongea sn hao....! Hiyo ni tabia mtu binafsi.
Si ajabu ukawa mmoja wao!