Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #121
Huyo mtu sijui anawajibika maeneo gani. Itakuwa ana funguo za sehemu walipohifadhia grease
Hahahahaaa ukikutana nae mfikishie salamu zangu aiseeh, nimemiss sauti yake.... tabasamu lake.... hekima zake n.k. n.k.
Mwambie Kasie anakusabahi.