Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

The choice is yours Peace of Mind au Furaha ya moyo wako...

Kama unaweza kujifunza kupenda choice ya anayokupenda ni bora zaidi sababu utabadilisha one way love into two way (Perfect Couple)

Kama huwezi kujifunza kupenda choice ya kwanza ni bora lakini ni gamble kama hatakupenda kamwe anaweza kuleta visa hence kukusumbua akili, na kukuumiza roho kupelekea hata feelings za mwanzo ulizonazo kwake kufa... "Even The Strongest Feeling Expires when Ignored.."
 
navyomjua atang'ang'ania tuhalalishe
labda tena iwe kanisani

naogopa, it will be a nightmare.

Naona jitihada za Zombie zinakaribia kuzaa matunda... Penye BLUE ujue ukimpa tu ndo sawa na ndoa yani. Atajihalalishia tundi. Na hutaweza kumnyima tena.
 
Hapo kwa Bold, na Kongosho ni nani?

Afu tabia yako ya kuniliza wivu nshakwambia siitaki!

Hebu twende PM kwanza tukawekane sawa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe Nicas Mtei uko je?

Ulishawahi kukutana na mwanamke anasema kuwa kagawa kidude??

Siku zote huwa hawatoi...hata huyu Kongosho hajatoa na hatakaa atoe..

Hapa anatupigisha stories tu...!!

Babu DC!!

Kweli hajaachanisha na kamwe hataachanisha. Nimekuelewa Babu.
 
Last edited by a moderator:
am sacared!

Ndo maana natamani nimwonjeshe aende zake, labda kinachomsumbua ni ile 'ilikuwaje akanikataa?'

labda akiona 'kawaida sana' ataridhika aende. Vinginevyo ataendelea kuni-confuse hadi lini?

Umwonjeshe mara ngapi??

Babu DC!!
 
Babu DC

Kama ni kuku hapa naona kashadumbukizwa kwenye maji ya moto..

mda si mrefu kama bado utakuta manyoya kwenye jalala!!

Mie naona supu ilishanywewa siku nyingi,

May be ni makengeza yangu...

Babu DC!!
 
Hapo kwa Bold, na Kongosho ni nani?

Afu tabia yako ya kuniliza wivu nshakwambia siitaki!

Hebu twende PM kwanza tukawekane sawa.

Mzee mwenzangu,

Hadi leo hujui kwa nini watu hutembeza CV au kuomba CV kabla ya kupewa majukumu??

CV ya Zombie ni kiboko.....He know what he needs and how to get it...


Babu DC!!
 
nikitumia kichwa cha kichwani juu, jibu ni Yes, nikitumia moyo jibu ni 'yes/no'

halipi sababu ama big headed, but vinginevyo anascore B+ for a husband.

Afu unajua ku-settle nako muhimu, uongo?

Wakati mgumu unautaka mwenyewe...changamsha kichwa na utumie akili ya kichwa cha juu...

Kama kutoa, basi toa halafu usubiri matokeo.....ila kama Zombie halipi basi bana!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…