Sasa EMT mbona umechelewa kutoa ushauri. Wenzio tunasubiri pilau na nyama choma siku ya baba kapata Mama.
Babu Dark City hivi EMT amezeeka au anajaribu kuwa kijana?
BACK TO THE TOPIC:
Kuna wakati binti mmoja alifanikiwa kunifanya zombie kwa muda fulani. Lakini ujanja wa Uswazi ulinisaidia hatimaye.
Just cool down & calculate time partially ...........Kwa sasa yeye ndio zombie.
Na kwa hii movie Kongosho ni half zombie tayari. Mswalie mtume asije kukupiga marufuku kuingia JF.
Hii konklusheni inabidi nipulize msuba kidogo. Ngoja jua lipungue.Hahahaha popote mlipo Dark City, Nicas Mtei, BADILI TABIA, Kaunga, King'asti na Mentor njoo mtoe konklushen fasta!!
it wont kill me, am stonger than that.
we bado unasubr mi nipo na watu8 tunafanya shopping huku
tena mwambie kabisa tumeanza mazoez ya dansi maalum special kwa ajii yake heb mtaftie picha zetu tukiwa shoppingKwako rafiki kipenzi Kongosho,
Baada ya kusoma uliyoyaandika hapa, nimegundua muda wote ulikuwa unanihadaa kwamba hautarudiana na ZOMBIE.
Kwanza machale yalianza kunicheza, baada ya kugundua kumbe ni yule mtoto wa jirani yako ndiye ambaye alimchora ZOMBIE kwenye ansa shiti yake katika mitihani ya kumaliza fomu foo mwaka jana. Nadhani alikuwa akiwashuhudia mara kwa mara mkijinafasi na kujiachia.
Sasa basi, mimi na mtani wangu snowhite tumeamua kufanya shopping ya nguvu tayari kwa maandalizi ya harusi yako.
Wasalam,
watu8
Kwako rafiki kipenzi Kongosho,

Huwezi kupitwa tukio muhimu katika maisha yako kama hili....
Hivi ungesimuliwaje Zombie atakavyokuwa anatembea kuelekea kwenye madhabahu kwa mwendo wa ndombolo au kimbinda nkohi??
Haya sasa...andaa zile nyimbo zao kwao na akina Komba tujipe raha mdogo wangu!!
Babu DC!!
tena mwambie kabisa tumeanza mazoez ya dansi maalum special kwa ajii yake heb mtaftie picha zetu tukiwa shopping
ni bora uishi na huyo anaekupensa na wewe unajifunza kumpenda, uta enjoy maisha kwa uhakika wa kupendwa/kujaliwa/kuthaminiwa, hapo tena kwa watoto wawili inabidi ujue undani wake zaidi, kwamba kilitokea nini wakatalikiana, na uwe tayari kwa purukushani za malezi ya hao watoto itakapobidi.
Hebu acha uharibufu wewe BADILI TABIA na Nyamayao....
Wenzio tunaandaa sherehe halafu mnataka kumrudishia Kongosho akili yake???
Bahati nzuri mmechelewa..
Babu DC!!
Hebu acha uharibufu wewe BADILI TABIA na Nyamayao....
Wenzio tunaandaa sherehe halafu mnataka kumrudishia Kongosho akili yake???
Bahati nzuri mmechelewa..
Babu DC!!