Am tired aisee!

dada usijali sifa za huyo mwanaume ni Yesu tu mtoto wa kwanza wa Yoseph yule fundi seremala pale nazareth...msubirie atakuja tu
 
Sawa, ila hao hao mbona wanatutumia, wanatuacha amna maana yoyote, ata ukijitunza ukampenda vipi ndo kwanza watazila wengine
 
Acha usenge fala ww wazazi wapo humu
...teh teh teh teh...single mother **** chakavu..jobless...bado unakohoa na kutapika?...,tezi na kuharisha kumeisha?
...unavyoipenda JF huchoki kubadili avatar....ila 'Izraeli' anakupenda zaidi..,hufi na mtu humu!!
..R.I.P
 
...teh teh teh teh...single mother **** chakavu..jobless...bado unakohoa na kutapika?...,tezi na kuharisha kumeisha?
...unavyoipenda JF huchoki kubadili avatar....ila 'Izraeli' anakupenda zaidi..,hufi na mtu humu!!
..R.I.P
Sema wewe malaika wa shetani, unafanya nini huku mbwa weweee
 
...teh teh teh..ndo mlivyo!..sijui kwanini vinapendaga kukimbilia kichwani hadi mnakuwa na hasira na kila mtu!
...narudia,hufi na mtu!
...Rot In Pieces!
Sina haja kujibizana na ww Unanipenda alafu kibamia walaa hunipati
 
Ni pm kama unaweza kuihandle dyudyu ipasavyo, sio kutaka ili hali huwez kutoa.
 
Mmmh, uchumi mgumu dear. Sio ubahili. Kuna kidem flani nilikipataga full kukipa makea, kwenda sijui wapi nakipandisha ndege, kikazingua nikakiacha kiende. Tangu kiwe na huyo bwana mpya, ndege anaishia kuziona tu zikikatiza Buguruni... Teh teh...
 
Utakuta demu mwenyewe sura kama mbuzi,flat screen kitAndan hewa kiuono kigumu unfkr utaptA wap mwanaume mjing wa kukupA vyt hvy
 
Unatafuta hela za wanaume kwa nini usitafute zako uone matokeo yake kama utazigawa kama njugu mtaani? Na wanaume wameshakugundua kuwa shida yako ni pesa tu na hawatakupa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…