wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
and what if akitafuta shuga mama moja likampa hizo pesa akatatua matatizo yake then ukaja-juwa kuwa ulimnima pesa na akapewa na mwanamke mwenzio...hiyo heshima iataendelea kuwapo?
Au unadhani hakuona sehemu zingine mpaka akaja kukuomba wewe msaada?
Au hujui kuwa naye alikuwa anakupima ili ajuwe kama una-moyo wa huruma na kutoa kusaidia walio-karibu nawe ili ajuwe kuwa anaoa mke mwema na mkarimu na mwenye kusaidia kila panapojitokeza uhitaji.
Au hudhani kama kwa kumkatalia ameshajuwa kuwa umefundishwa kupokea na sio kutoa soo hufai inamlazimu akubwage ukachokore kitaani kama mtoto wa umbwa?
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
That is completely unfair. Kama hujaweza kumsaidia akiwa na shida mngali wachumba, utamsaidiaje akiwa na shida kama hiyo mkiwa ndani kwenu? Charity begins at home. Wema uanze mkiwa wachumba. :A S-cry: