Am sorry for hurting you...!!!

Young_ Master jua kwamba kuna kusamehe na kusahau
Ila isiwe mara kwa mara maana ataona kama unafanya kusudi
na itafikia atasamehe ila hatasahau
Na hawa wenzetu wanajua sana kuyaweka haya mioyoni mwao
Kuna mmoja alimtukana wife wake "punda" ikapita miaka kibao walisameheana yakaisha
Siku wakiwa safarini na mkewe wakakutana na kundi la punda wanavuka barabara. Mke alimwambia mumewe nenda taratibu usije gonga ndugu zangu hao wanavuka barabara
Miaka zaidi ya kumi imepita toka jamaa amtukane mke wake
So be careful sana mkuu

Mr Rocky umenichekesha na hii hadisi yako asee......yaani kweli sisi ndio wakukaa na vitu miaka kumi wajameni hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe kwenye mahusiano neno gumu sana kutoka kwenye kinywa changu...sijui kwa nini
 
disapointed at u again, why coming late like that?? nways not a big deal, its friday today and still u can have a bigger surprize, so hold your breath.

Am sorry my love I was so busy, i have to fix something before i come to you. Am so sorry, i hope you will understand. By da way what surprise do you have for me my love?
 
Mhmm!!! Surprize means unatakiwa unipe mkanda mzima wa unachotaka kunifanyia au nimekosea?
surprize halafu nikwambie tena? ndio surprize gani? mbona leo umelate tena kurudi mpaka saa hizi hujarudi, basi nijie na kile kinight dress changu cha white nnachokipenda
 
surprize halafu nikwambie tena? ndio surprize gani? mbona leo umelate tena kurudi mpaka saa hizi hujarudi, basi nijie na kile kinight dress changu cha white nnachokipenda

Khaaa!!! Mwanamke wewe...yaani unanichuna hadi usiku huu wa manane? Ntapata wapi duka la kununua night dress usiku huu cacico?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom