CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,230
- 591
Young_Master umenifanya nimecheka kwa nguvu sana leo khaa! naona nikiwa na tabu na mtu i will give u a callWanilize...??? Thubutuuuuu...kama sijawageuza kuwa ng'ombe wa maziwa. Cheza na mtu wa sumbawanga wewe....!!!
Young_Master umenifanya nimecheka kwa nguvu sana leo khaa! naona nikiwa na tabu na mtu i will give u a call
always u will b happy, as long as our love exists!Ndio maana nakuzimia baby wangu cuz u know how to make me happy.
uwiiiii CUTE this is nice, soooo sweet jamani, mmhhhh how i wish kweli one day Young_Master anipeleke hapo! rahaje thatha! thanx cute even if its far frm reality, but at least can dream of,cacicomie wa afya jiburudikie mwaya na Young_Master ucku wa leo everythin on me....mnaanzia hapa
View attachment 56643mnamalizia hapa
View attachment 56644
Young_Master haya nijuze basi kikunyimacho uzima asubuhi hii?? am doing fine chicka wako, nazimiss raha za ulimwengu huu kutoka kwako.Mie sio mzima, sijui wewe kipenzi cha moyo wangu, umeamkaje my love cacico?
Young_Master haya nijuze basi kikunyimacho uzima asubuhi hii?? am doing fine chicka wako, nazimiss raha za ulimwengu huu kutoka kwako.
Young_Master, pole sana, pole kwa kweli! go to the hospital na uache kukaa home, natamani plans za djimon zingebaki vilevile, ila ni hali ya dunia hii ambayo sikuitarajia imevuruga kila kitu! ila basi nimeamua kuacha na kusamehe.Nahisi itakuwa ni malaria cacico maana dalili zote naziona
Young_Master, pole sana, pole kwa kweli! go to the hospital na uache kukaa home, natamani plans za djimon zingebaki vilevile, ila ni hali ya dunia hii ambayo sikuitarajia imevuruga kila kitu! ila basi nimeamua kuacha na kusamehe.
Young_Master do u mean hata mimi sikupendi?? what are you up to jamani, vibaya hivyo, hebu jua ku-apreciate, lolI dont need to cacico. Am always alone with no one to love or care for me and am used to live that way.
Young_Master do u mean hata mimi sikupendi?? what are you up to jamani, vibaya hivyo, hebu jua ku-apreciate, lol