umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Mpo wazima humu,
Sipo powa sana na humu but leo its like sina cha kufanya, sijielewi, ninayemuwaza yupo mbali na sijui kama aniwaza pia
ni miezi kama 3 since niachane na mpenzi wangu sure nimevumilia but kuna time nahisi kupungukiwa.
Kiufupi sijakamilika sijui kujichanganya sijui ushost aah ni kama nimefungwa hivi leo ndio kabisa wallah moja haishiki mbili ndio kabisa humu tupo wengi labda ulipokutana na hii hali wewe ulifanya nini?
Ushauri please