Huyo anasema et yeye ni Pisi😅😅Mbona kama ana miguu ya kiume au nimechanganya..
Kumbe umeolewa!
Basi siku mkiachana,nimekuwahi.
Unakua na rafiki akiona umependeza akahisi umemzidi ananuna 😅😢Wanawake wanaweza kuwa kweli ni marafiki, lakini wivu huwa hauishi baina yao. Wanawake wanaweza kuwa marafiki wakiwa na hali flani ya kufanana wakaenda sawa, lakini mmoja akipiga hatua wanaanza kuoneana wivu na yule aliepiga hatua, anaanza ego na self esteem kwa wenzake.
Pia wanawake wanaweza kuwa na urafiki wa kinafiki wao kwa wao na wakaishi hivyo muda mrefu tuu.
Kuhusu mada; nakutakia kila la kheri katika kupata marafiki wa kweli.
Sema huyu mshangazi ataniua ndani ya wiki moja tu,hua ana ukorofi wake nae,Komaa uwe hata "spea tairi" mkuu! 😊
Wanawake wananuna vitu vya kijinga sana ni ugonjwa nao nini..Unakua na rafiki akiona umependeza akahisi umemzidi ananuna 😅😅
Pisi za mjini bhana..Huyo anasema et yeye ni Pisi😅😅
Au wewe ndio Una Tabia mbaya unashindwa Ku Fit in?Marafiki wana faida gani sasa
Tena wanawake wanoko roho mbaya chuki wivu 🚮
Ukiacha wa ku engage mitandaoni sina rafiki wa kike njee ya JF na sihitaji pia
Kila la kheri kwako dear
Unakua na rafiki akiona umependeza akahisi umemzidi ananuna 😅😅
Sema huyu mshangazi ataniua ndani ya wiki moja tu,hua ana ukorofi wake nae,
Labda awe mchepuko tu.
😀 😀
Wanawake mnaoitwa hapa muwe makini asije kuwapig Miti huyuJamani nahitaji marafiki wa kike kwa kweli
i dont know if its too late for that ila dm yangu iko wazi
30yrs and above..
sitaki mapovu kwenye replies...
i only reply dm
Inawezekana piaAu wewe ndio Una Tabia mbaya unashindwa Ku Fit in?
Mbona tunawaonea maofisini mnasifiana mncheka mpka mna kisiana?Unakua na rafiki akiona umependeza akahisi umemzidi ananuna 😅😅
😅😅Pisi za mjini bhana..
Sometimes ni real ila unafiki upo kwa kiwango cha juu tunajuana mkuuMbona tunawaonea maofisini mnasifiana mncheka mpka mna kisiana?
Mitandaoni pia mnapongezan na kutia moyo hata kwa mambo ya kijinga? Sasa hiyo hostility inatoka wapi
Hata sijui tupoje kakaWanawake wananuna vitu vya kijinga sana ni ugonjwa nao nini..
Demu unaweza ukamnunulia zawadi na bado akakasirika wakati ukimpa mshkaji raba kali na jean tu atashukuru miaka nenda rudi..Hata sijui tupoje kaka
Ni huzuni
Noma sanaDemu unaweza ukamnunulia zawadi na bado akakasirika wakati ukimpa mshkaji raba kali na jean tu atashukuru miaka nenda rudi..