Hicho ulichonacho ndo kimbelembele au...???? Anzisha thread yakoHivi hii ndo huwa wanasemaga ni kujitongozesha??
Hicho ulichonacho ndo kimbelembele au...???? Anzisha thread yakoHivi hii ndo huwa wanasemaga ni kujitongozesha??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimependa hilo neno kimbelembele mkuu nina mda sana sijalisikia!Hicho ulichonacho ndo kimbelembele au...???? Anzisha thread yako
Hahahahaaa....nimefurah umecheka good day[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimependa hilo neno kimbelembele mkuu nina mda sana sijalisikia!
asanteAll the best
Ushauri wa bureeee....komaaa kwanza na kitabu wanawake watakufanya udisco afu wazazi wako kijijini wapate BP bure!Hi
I am a man aged 23 years old. I am a Tanzanian. I am still attending my studies at a certain institute here at DSM. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the title of my thread to establish a relationship with her and further into a marriage life. If you are interested, contact me through 0713672532 or you can send me a private message(PM). All SMS and calls will be accepted. You are warmly welcome.
Kwanza unatuaibisha wakinga!!!!badala ya kutafuta pesa unakomaaa na wachumba kwa umri huoooo?Ushauri wa bureeee....komaaa kwanza na kitabu wanawake watakufanya udisco afu wazazi wako kijijini wapate BP bure!