Am in love...

Am in love...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,254
don't take it personal,niko na strong love na huu mmea[herb]...hey mr officer what kind of corruption you have on your tongue to prison a man for simple draw of herb[that grow from the earth],kaya is my medition,kaya is my brain,kaya take away the stress and hill the pain...Dr take it,lawyer use it.this is reason why i love this natural hep
1.its natural medicine
2.it improve your understanding of economic
3.you will become more paranoid and aware
4.you will become analytic and think out side the box
5.its ultimate networking tool
6.improve your character
7.it put you in zone
8.it make you enjoy life
9.weed smoke are good people
10. marijuana is healthier than alcohol
 
Nilishawah kuambiwa kama unajijua hautumii kilev cha aina yoyote mshukuru Mungu kwakuwa utoto na mwanzon mwa ujana wako uliish katika jamii hiyo ndo maana nawewe upo hivyo.Ila ungekulia kwa walevi ungekuwa hivyo maana wanaushawish mkubwa sana.Naamin sasa hapo kaka nikikuachia yule mdogo wangu wa miaka 16 ukamwelezea faida za bangi ndo hizo siku hiyo hiyo anaanza kuvuta.Kweli kwa hapa tulipofika na tabia tulizonazo watu waliotuzunguka walihusika na wanazidi kuhusika.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
umegusa penyewe yaani nashukuru mungu mpaka nagawa karne kwa robo sina ulevi wowote yaaani kweli mazingira ya kukua yanachangia mengi nashukuru sana
 
Katiba mpya iruhusu matumizi ya hiyo kitu.
 
umegusa penyewe yaani nashukuru mungu mpaka nagawa karne kwa robo sina ulevi wowote yaaani kweli mazingira ya kukua yanachangia mengi nashukuru sana
kweli huna kilevii chochote
 
Back
Top Bottom