Ma senior bachelor wote mko hivyo.eniwei hata mimi nipo hivyo naenjoy sana kampani yangu mwenyewe.ila kutoka na kuishi uswahilini automatikale ikabidi ni adapt ujamaa na kuwa social,so huwa na switch kutokana na mazingira samtaimz nakuwa loner samtaimz nakuwa social hata kwa kujifosi.
Nikipata mialiko kama ulopata wewe leo huwa nachagua michache ya muhimu then nakwenda.ila kila napokwenda natumia walau lisaa limoja then nasepa