Am I a loner,selfish?

Hii tabia ninayo aisee
 
unawezaje kukataa hata kwenda kwa bi mkubwa? watu kibao wanakuhitaji wala hujali .yaani wewe unajiwazia wewe tu .sio fair hata kidogo .ila sio tatizo lako mwenyewe wanaume wengi mpo hivo
Mhh haya nimekuelewa....ila kukataa kwangu pia kunachangiwa na uvivu wa kuanza kutoka home kwenda mpaka huko wakati nilishapanga kukaa nyumbani weekend yote nipumzike.
 
Kuna wakati mtu anahitaji kuwa peke yake,kuna wakati pia huwa anahitaji kuwa na watu,kwenye michanganyiko ya watu...

Pamoja na hayo kuna watu wengine ndivyo walivyo,yaani wao wanapenda sana kuwa peke yao...

Kuna wengine wapo hivyo kwasababu ya matukio fulani yaliyowatokea huko nyuma na kuwasababisha kuwa hivyo,hili ni tatizo...

Sijaona mahali ukieleza sababu ya wewe kuwa hivyo,lakini kama kuna wakati tu unajisikia kuwa hivyo sioni kama ni tatizo....

Ukijisikia kuwa hivyo muda wote hilo ni tatizo....
 

Sasa sikukuu yote ile umebaki nyumbani peke yako ina maana yule mtoto mzuri uliemkwapua hapa JF mlishaachana?
 
Sio muda wote...kuna wakati najirusha vizuri tu. btw umeadimika, busara zako tumezikosa muda sasa.
 
wanasema communication is the key.... distance does not separate people but silence does... kuongea now and then mnapopata nafasi ni muhimu...
Wat if mmoja hayupo cooperative kwenye mawasiliano, however Hard you try to maintain communication hupati ushirikiano, hapo tafsiri yake nini
 
Huyu RRONDO nakosa kumuelewa maana hapo mwanzo huwa na muweka katika kundi la late 40s.
Upo single? (30s) inakuhusu ila sio sheria...
Anyway uamuzi wako ndio furaha yako. No regrets!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…