Am I a loner,selfish?

Hata mimi nilifanya kama wewe..yaani pekeangu na Jamii Forum..kuhusu uchoyo hapana kwa sababu miamala niliitoa sana kwa ndugu na marafiki ili wafurahie sikukuu.Kwa ujumla napenda sana utulivu wa fikra.
Uchoyo anatania tu....mimi kama sio JF naangalia TV.
 
nimepitia comments nikashangaa saana hili swali halipo

Wana nguvu ya ushawishi saana. Kiasi kwamba ungekuwa naye asilimia nyingi ungemtoa. Ila sio kutoka.
Bahati mbaya huwa sio rahisi kushawishiwa au kuyumbishwa. Na angekuwepo angekuwa na muda wake na muda wangu wa kukaa alone uko pale pale. Anaweza kuona simjali kwasababu hio.
 
Bahati mbaya huwa sio rahisi kushawishiwa au kuyumbishwa. Na angekuwepo angekuwa na muda wake na muda wangu wa kukaa alone uko pale pale. Anaweza kuona simjali kwasababu hio.

 
Upo single ?
 
Kumbe tupo wengi!!!

me huwa naamua kujifungia tena chumbani.

Sipendi kusikia makelele ya tv wala radio.

Kuna siku huwa sipendi kupokea cm kabisa.

Lazima cm iwe ina bando muda mwingi nitakuwa Jf na kusinzia, nikiwa nimeamua kupumzika inaweza kuchukua hata siku tatu.

Kama kitu kilikuwa kinanisumbua basi siku nitakayoamka hapo nakuwa nimeshapata solution
 
Sasa kwa mfano ukipata mpenzi kama mimi inakuwaje??
 
Ndio poa kunakuwa hakuna muda wa kugandana kama ruba.

Na kuachana itakuwa rahisi sana
. Maana lazima na wewe hauna muda wa kubembeleza mtu , me kubembeleza mtu siwezi aisee
Uko single? πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…