Am I a loner,selfish?

Ndo maana mimi huwa nakukubali sana...

Reasoning yako ni tamu
 
Hakika.
 
Duuuh, yaani nimesoma hii nikastuka kidogo. Mi pia pasaka yote nilitaka kua alone, just myself. Na nilifanya hivo sikuboreka and I was happy. Mialiko yote niliikataa na pia sikutaka mtu aje kwangu.. Kumbe tupo wengi.. Sijui ni nini lakini. But I hope it's okay as long as we are okay with it.
 
espy now utanielewa. Sijajua tu jinsia yake ku-confirm my theory.
 
Watu aina yenu hawakawii KUJIUA. Mnateswa na MSONGO WA MAWAZO
 
Haaa tunafanana

Kuzurura zurura huwa.siweeezi


Kwanza naweza panga safari halafu kama ni issue ya kutembea tu naicancel....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…