Ukiwa hivyo mafala hawakuambii kuwa unaringa?Inaokoa muda na pesa.
Tuko wengi kumbe....Mimi mwenyewe hivyo hivyo, kuna kipindi nataka niwe peke yangu tu, na simu sometimes sitakagi kupokea unless iwe kwa watu muhimu sana.
Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.
Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.
Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.
Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!
Thats your own view nd not a fact...True loners do not join JF.
Nilichogundua kuna watu wengi wana hii tabia. Wengi humu wanachanganya upweke na mtu kupenda kukaa ndani. Nakaa ndani kwa kupenda na nina enjoy kila dakika, naweza kuwa naangalia tv, na browse jf au nasikiliza muziki.Tuko wengi kumbe....
hata mimi napenda kukaa mwenyewe sana sema siku hizi nimeacha kwasababu ya rafiki yangu kila saa ananifataNilichogundua kuna watu wengi wana hii tabia. Wengi humu wanachanganya upweke na mtu kupenda kukaa ndani. Nakaa ndani kwa kupenda na nina enjoy kila dakika, naweza kuwa naangalia tv, na browse jf au nasikiliza muziki.
Nikijisikia kukaa na watu natoka naenda walipo au nawaita home wanakuja. Ila ndio nikiamua kukaa ndani hata uwe mwaliko wa umuhimu gani, sitoki.
If you join JF, you wish to communicate with others.Thats your own view nd not a fact...
through my own experience with jf members i hav come accross physically,most of them are loners that jf is the only place they meet "people of their own kind"..
Most loners don find themselves energetic when they are sorrounded with a lot of people and also seems to prefer things which worth their intelligence ....
Nenda insta ama snapchat,huko ndo kuna attention seekers na viumbe wanaojichanganya sana na watu yaani wataigiza uhalisia unaokubalika kinyume na wao walivyo...
Kukaa pekee kuna raha ila kuzidisha ni karaha... TOO MUCH IS HARMFUL ALWAYS
KUNA SIKU NILIFIKA TU M 100 TOKA KWAKO NIKARUDINdio maana nikikualika geto unakataa eeh.
Thats your own perception nd don force it on the other people...If you join JF, you wish to communicate with others.
Therefore, you are not a true loner.
True loners do not join JF.
Why woyld a true loner join JF?
Sent from my LGLS992 using JamiiForums mobile app
Sio muda wote...kuna wakati najirusha vizuri tu. btw umeadimika, busara zako tumezikosa muda sasa.
Bora tuwe wengi tu lolHuko pages za nyuma wapo kibao.