Am happily married but feeling so lonely inside

Haya let's assume hakupendi kama mpnz wake wa kwanza, which is good at least hutakaa uwe reminder ya maumivu, but a new thing, a beautiful relationship which resulted into a Beautiful family. Mshukuru Mungu kwa ulicho nacho, kidumishe, kipende kidumu, mie sitaki kabisa mapnz ya kutaka kufa kwa ajili yangu wala kwa ajili yake, nataka kupendwa, kuthaminiwa, kufurahi na nimpendaye, kumheshimu,na kumpenda yeye tu, sasa hizo hadithi za zilipendwa hazina nafasi ila kama umekosa kazi ya kujenga familia yako, iwe familia bora, endelea, badala ya yeye utakuwa wewe this time. Ahahaha, i know am bringing sarcasm while you're serious, but chill out girl, life is beautiful and Love is the most beautiful it supposed to be enjoyed.
 
Lingine ni historia yake, ameishi kwa kukandamizwa kwahiyo ameshaambiwa hafai it seems ova and ova, sasa anaanza kuamini kabisa, Kama unaimani dada unahitaji kusali alilosema Extrovert ni kweli hako ni kaugonjwa na kanahitaji tiba, unaanza wewe, unashirikisha mume, ikizidi nenda sipitali unapata madaktari mpk madawa, ni rahisi sisi kusema jiamini, ni kazi ngumu mno kama kunyanyua gunia la kilo 200, kwa wewe kufanya tu hapo hapo ikatokea. Anza na therapy ndogo ndogo, pika chakula na amini kuwa umepika vyema, evaluate mambo, kama ww si bora asingekuoa, asingekujali, asingezaa nawe, orodhesha tu, itakusaidia kuanza kujifunza kujithamini, mshirikishe mwambie kuna wakati napata mashaka, naomba unisaidie, ninaamini utanielewa na kunisaidia kushinda hili, hiyo ndio ndoa, kubebana madhaifu yenu. Mungu akubariki
 
I mean they say there is no love except for the first love
Probably yes, it depend on how you look like (in term of thinking and the way you handle your husband) compared to his ex girl friend. You can make him crazy over you and forget everything about the past.

But, the way you have expressed yourself, it seems that you are not a confident woman. Please, play your part, acha kulalamika hovyo, kurudi alikotoka kifikra na kimwili kutategemea na uzembe wako.
 
Wewe umewekwa ndani hlf bado unalia lia, kuna wengine wanalilia hiyo chance kila kukicha ooh! shauri lako.
 
You have been in love 2years before marriage,
The marriage is 2 and a half years,
Sasa hv ndio unawaza X,
Acha kufukunyua vitu visivyo na umuhimu
 
Acha kumfikiria sana huyo ex wa mume wako. Jitihada zako zote zielekeze katika kuboresha upendo wenu
 
Mpaka ameamua kumove on basi ujue ameshamdelete huyo ex wake! Kuna wanawake kibao ambao watu hutaka kujiua kwa ajili yao...kumbe hawakuwa wakistahili upendo huo na baadae huja kugundua walikuwa wanataka kufanya makosa! Hivyo, kuwa na imani dada yangu...huyo ni wako pekee, umtunze na kumheshimu sana maana mtu mwenye upendo wa namna hiyo si wa kumuudhi na kumkosesha amani!! Be happy, smile...he is all yours!!!
 
Muonyeshe mapenzi asahau ex.acha kulialia.
 
acha ubwege,chepuka ukatoe machungu,utakufa kihoro bure...
Si busara kutoa ushauri huu...hata kama wataka kufurahisha baraza!
Hebu fikiria ikiwa mkeo atashauriwa hivi na watu...ni ushauri tu!!!
 
Mbona hujiamini kua wewe ni mwanamke na mapenzi yako ndio yatamfanya asahau huyo X wake na pia a wish kwanini asingekutana na wewe mwanzo? unahisi huna vigezo vya kumfikia X wake? was wasi wako ndio maradhi yako na ndio yatakayo mfanya amfikirie na hata huyo mwanamke akitaka kurudi ataweza kurudi sababu unafikiria yasio kuhusu,wewe hukua na X kwani sahau sijui first true love hukua nae? na kama ulikua nae kwa nini yeye asifikirie kama unaweza kua bado mnakutana? JIAMINI na zidisha mapenzi kwa mumeo ule raha ....
 
Kua na nae karibu sanaaa....not in a forceful way tho. Trust me it will fade away slowly. Been thru that experience myself.
 

Thanks
 

Asante kwa kunifahamu
 

Gobole basi fanya Heshima Na Lugha.
Kama Kiingereza Au Kiswahili andika vizuri.
Coz
U
HT
WW
Goin
Samahani Kama nimekukwaza
 

Thanks dear
 
Angekuwa unampenda kiukweli,asingekuoa,kwan wewe humkumbukagi ex wako?tulia muimbe Mungu akupe amani ya moyo juu ya hili wazo,kwani unaweza kuivunja ndoa yako dada,pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…