Am happily married but feeling so lonely inside

Sijui wallah najisikia huzuni sana wakati wote hapokuwa hajaonyesha dalili yyte ya kutokunopenda lakini tokea nijue kuhusu his love story nimekuwa mpweke sana
Embu google sasa hivi neno 'Depressio. au deep sadness' Usome zaidi... Then ukishasoma utanchek...
 

Yeye ndie aliyenibikiri he is my first man na sijawahi toka nje our sex life is perfect
 
Embu google sasa hivi neno 'Depressio. au deep sadness' Usome zaidi... Then ukishasoma utanchek...

Nishagoogle na kabla niliwahi.unajua mimi niliishi na mke wa mjomba wangu ambae alinitesa sana sana na nlikuwa emotional abused sana sana hadi leo nakuwa nahisi upweke na huzuni ambao siwezi kucontrol na sasa nahisi upweke sana sababu tu ya kujua abt his ex na siwezi kujicontrol
 
Am 23 na ndoa ya miaka miwili na nusu

bado mdogo sana,ndoa zinataka uwe na miaka 28 plus ndio utaweza kwenda sambamba na mawimbi yake yasiyochoka kuja tena na tena....endelea tu kukomaa taratibutaratibu!!!kwa ufupi...hakuna shida yoyote katika ndoa yako zaid ya wewe kuongozwa na hisia zako za hofu....sasa angalia hizo hisia zako zitamuharibu mwenzio,usidhani ha note hizo nyimbo zako unazosikiliza siku hizi....akibadilika ujue wewe ndio umembadilisha na kumuharibu
 

Asante kwa ushauri
 
Yeye ndie aliyenibikiri he is my first man na sijawahi toka nje our sex life is perfect
Hongera huyo ni wako na anafurah kuwa na ww kwa kuwa amekubikiri mwenyewe...hata km alimpenda huyo ex wake zimebaki kumbukumbu tu...ukichukulia ana mwanaume mwingine. Tulizana dada...kama wako atabaki na kama si wako hata ufanyeje utamkosa...time will tell the truth.
 
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Muwege mnatumia tu lugha ya Nyerere hiyo ya Malikia waachieni wenyewe.

Mwanamke jiamini, wasi wasi wako ndiyo chanzo cha maumivu yako. Kila mtu ana past yake afu wachaga kuchimbua mambo ya nyuma, huu ni wakati wako wewe itumie nafasi yako ipasavyo.
 
Yule ni EX wake wewe ni EY wake chakufanya ni kuwa mbunifu ili aziongeze EZ kwenye usajili wa dirisha dogo!
 
Kujua tatzo n hatua nzuri xn ktk kultatua ,n sawa na unajua adui yko yupo upande gn mstuni ,cha msingi mmeo anakpnd naw onyesha kwamba u chaguo lke sahhh kaba ad penati.
 
We si ndio jana ulikua unataka kufundishwa jinsi ya kumkatikia kiuno mumeo??

Mara leo una wasiwasi nae..... Mhh something wrong here!
 
Zen huna sababu ya kujitesa kwa yaliyopita.
Inaelekea mumeo ana mapenzi ya dhati thus why alitaka kujiua.
Unapoendelea kumhukumu kwa yaliyopita ni makosa makubwa.
 
I mean they say there is no love except for the first love
Huo ni uzushi...acha kujitesa, inaelekea mmeo ni mtu mwenye msimamo lkn wewe unashikilia vitu vya kitoto
 
acha ubwege,chepuka ukatoe machungu,utakufa kihoro bure...
 
Zen huna sababu ya kujitesa kwa yaliyopita.
Inaelekea mumeo ana mapenzi ya dhati thus why alitaka kujiua.
Unapoendelea kumhukumu kwa yaliyopita ni makosa makubwa.

So inazidi kuniuma kama ana mapenzi ya dhaati ilikuwa kwa his ex ivi inawezekana kuwa ya dhati na mimi au sababu ameshakua lazima aowe na kuzaa
 
We si ndio jana ulikua unataka kufundishwa jinsi ya kumkatikia kiuno mumeo??

Mara leo una wasiwasi nae..... Mhh something wrong here!

Yeah coz I really love him with my whole heart na wasi wasi isije kuwa moyo wake upo kwa ex wake lakini anaishi na mimi vizuri but i wnt to be the only women he is thinking of
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…