Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Shetani ni mmoja ila kwa siku anawezaje kupitia watu zaidi ya mia akaenda nao bar? Maana utasikia shetani kanipitiaaaaa Mara yule nae kapitiwa jamani??????
 
Juzi walikua kwenye kongamano wapo wengi sana ao,
Tunaangalia means ya kuoa wake wawil ata kama mkristu, washikilie wote maana hakuna namna
 
nawachukia sana watu wanaochanganya lugha kwenye maongezi au maandiko yao. andika lugha moja ijulikane. acha kasumba ili uonekane umesoma na umeendlea. kama kiswahili kiwe kiswahili kama kingereza vivyo hivyo " we must emancipate ourselves from mental selves "
 
zingekuja on the way
Upendo wa kulazimisha huo ...anyway wewe na moyo wako ni waamuzi wa mwisho
On my side muache mdada wa watu in piece aendelee na masomo yake na life goes on
Wanaume muwe na huruma if humpendi mtu why umpotezee muda na hisia zake...soo sad kwa kweli
 
kama ulikimbia umande mimi sina cha kukusaidia sili kwako wala sijawahi kukuomba chako tuliza makalio.....usinipangie maisha
 
Yaani kuna vitu huwa navishangaaga sana kwenye mahusiano mpaka nabaki nachekaga tuu kwa huzuni....aiseee!!!!
shangaa wewe best..
i remember one story ililetwa humu, a guy dated with a lady for 5 good years na madai walikua wanapendana sana, imetokea siku tu, mwanamke hamtaki jamaa sababu mwanamke hapendi kurekebishwa anapokosea, imagine all the time wasted na walikua mbion kufunga ndoa , guess what, a month tu after breakup mwanamke kapata mimba ya someone else ...hahaha aisee
ila vitu vingine sio akili za kawaida kuna na nguvu za giza hua zinafanyika,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…