Am bored. Anybody to spice my day up?

Am bored. Anybody to spice my day up?

Hata mie sijui kama wewe!
Hiyo mie nimejibahatishia na kubuni tu! Hiyo "smd" labda alimaanisha hivyo! Otherwise sielewi kitu.


Judgement.
Hongera kwa kujarbu kuutumia ubongo wako
 
Last edited by a moderator:
twende na hiyo ya kwanza..itafaa
Kuna Spice ya dried seed , fruit , vegetable substance used for flavorin , colorin or food preservin.
Na
kuna Spice girls group consisted by 5 singers , Victoria Beckaham included.
Sasa unadhani twende na Spice ipi?
Ya viungo au ya singers ?
Au kuna nyingine out of this?
 
Smd= sipaisi mai dei yaani 'nichangamshe' kwani pilipili manga kwenye uji ina kazi gani?? Vilaza nyie...mama niPM nikupe masipaisi...
 
Back
Top Bottom