Biological you two are post puberty- mnafaa kabisa kuoana...
Legally both of you are above 18- mnafaa kabisa kuoana...
Socially you are both willing - mnafaa...
Psychological range ya best marriage match ni 2-8 years so bado uko within range
You Mey Kiss Ze Braid
Mwache asome tafadhali? Usije ukamwita goalkeeper/ mbwa kisa ulimharibia maisha yake?
Why the hell not?
Kama mmeelewana na unaona amekomaa vyakutosha kiakili oa. Kuna rafiki yangu mmoja tunaelingana umri aliolewa na miaka 18, mpaka sasa hivi anaonekana anafurahia ndoa yake, kitabu kinaendelea kama kawaida na anachanua kama nini.
Oaneni. . .kama anasoma aendelee maisha yasonge.
TAHADHARI. . . kama akili yake haijakomaa vizuri kuwa tayari kuwa dissapointed maana badala ya kuwa mume na mke mnaweza mkatakiwa/lazimika kuwa baba na mtoto, au akaanza kuchangamka na mambo ya ujana badala ya kusettle kama ambavyo ndoa inatakiwa.
Kweli Mungu ana maajabu yake. Lizzy leo umeongea kama mtu wa maana. Ni vile kidude cha kugongea like kimetoweka hapa mbele yangu, kiukweli ulistahili kupata 'like' moja na busu mbili mwanana za kichaga.
:mwaaah: :mwaaah: to u Lizzy!
Hapo mwaweza kuoana mkafurahia ndoa yenu!but by the time unafika 50 yrs yeye atakua 40's ndio damu inac hemka sana,na wewe unaingia uzeeni!watch out!
Pili bado ana akili za kitoto sana!hamtaweza kukaa chini na kuongea lugha moja!
Hayo ni maoni yangu lakini!
tatizo la msichana wa 19 inategemea na mwelekeo wake kimaisha..wewe uko 27 ushafanya starehe zote so unataka kutulia..mwenzio ndio kwanza maisha anayaanza na anataka ale starehe ka ulizokula wewe sa mtaelewana hapo? ikifika wkend we unataka utulie ndani mwenzio anataka kwenda club hapo sasa...bt kama ni msichana ambae anaonekana ametulia sio mapepe mnaendana vizuri then poa...bt ka anasoma, usubiri angalau amalize shule mana wanaume sometimes mh!!
Ungeuliza kabla hujaanza naye. Ushakula weee ndo unakuja oh anafaa?....
Itabidi tukuweke kwenye group la bad boy :bounce::biggrin1::biggrin1::biggrin1:, sasa kabla gari hujaiwasha si lazima ucheki ka oil ipo, isije ikazimika njiani bure