Am 27, she is 19.nataka nimwoe,imekaaje??

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Guys,
naomba ushauri. age difference yetu ipo sawia. je huyu she aatatulia au ndo bado anaendelea na ujana?
kwasasa she is decent sana, ni 6 months nipo nae.
nawasilisha
 
Biological you two are post puberty- mnafaa kabisa kuoana...
Legally both of you are above 18- mnafaa kabisa kuoana...
Socially you are both willing - mnafaa...
Psychological range ya best marriage match ni 2-8 years so bado uko within range

You Mey Kiss Ze Braid
 
Umezungumza vyema PetCash, cha kuongezea, ni kuwa hakikisha kijana una kazi inayokuingizia kipato ili uweze kutunza hiyo familia yako mpya. Kwa age ya 19, huyu mkeo anaonekana kana kwamba bado yuko chuo hivi au atahitaji support ya muendelezo wa kielimu au biashara kupambana na maisha. Kuwa karibu naye sana kwa siku za awali za ndoa yenu kumjenga ajitambue kuwa ameingia daraja lingine la maisha na kumkwepesha na vishawishi.

Wish you lucky!
 
Kama hasomi OA
Zubaa mapedeshee waje wakuminyie.

Afu, miezi 6 tu unataka kutangaza ndoa? Mbona anakuharakisha hivyo? Kuna nini behind the scene? au ushamjaza ma voda fasta?

Ila oa tu, mengine mtambua mbele kwa mbele
 
Why the hell not?

Kama mmeelewana na unaona amekomaa vyakutosha kiakili oa. Kuna rafiki yangu mmoja tunaelingana umri aliolewa na miaka 18, mpaka sasa hivi anaonekana anafurahia ndoa yake, kitabu kinaendelea kama kawaida na anachanua kama nini.

Oaneni. . .kama anasoma aendelee maisha yasonge.

TAHADHARI. . . kama akili yake haijakomaa vizuri kuwa tayari kuwa dissapointed maana badala ya kuwa mume na mke mnaweza mkatakiwa/lazimika kuwa baba na mtoto, au akaanza kuchangamka na mambo ya ujana badala ya kusettle kama ambavyo ndoa inatakiwa.
 
Mwache asome tafadhali? Usije ukamwita goalkeeper/ mbwa kisa ulimharibia maisha yake?

Unamsomesha wewe au faza wako?

Mwache achome as if kuna sehemu uliambiwa anasoma. Kingine ni kuwa kuolewa sio mwisho wa kusoma. Mimi wakati namuoa wife wangu alikuwa aefeli form 4 na alisharudia mara moja akafeli tena. Baada ya kumuoa alirudia na akafaulu kwa kuwa kile kitu kinachosumbua wasichana kufikia sehemu wanashindwa kusoma yeye alikuwa anapata tena kwa uhakika.
 
Why the hell not?

Kama mmeelewana na unaona amekomaa vyakutosha kiakili oa. Kuna rafiki yangu mmoja tunaelingana umri aliolewa na miaka 18, mpaka sasa hivi anaonekana anafurahia ndoa yake, kitabu kinaendelea kama kawaida na anachanua kama nini.

Oaneni. . .kama anasoma aendelee maisha yasonge.

TAHADHARI. . . kama akili yake haijakomaa vizuri kuwa tayari kuwa dissapointed maana badala ya kuwa mume na mke mnaweza mkatakiwa/lazimika kuwa baba na mtoto, au akaanza kuchangamka na mambo ya ujana badala ya kusettle kama ambavyo ndoa inatakiwa.

Kweli Mungu ana maajabu yake. Lizzy leo umeongea kama mtu wa maana. Ni vile kidude cha kugongea like kimetoweka hapa mbele yangu, kiukweli ulistahili kupata 'like' moja na busu mbili mwanana za kichaga.

:mwaaah: :mwaaah: to u Lizzy!
 
Hapo mwaweza kuoana mkafurahia ndoa yenu!but by the time unafika 50 yrs yeye atakua 40's ndio damu inac hemka sana,na wewe unaingia uzeeni!watch out!

Pili bado ana akili za kitoto sana!hamtaweza kukaa chini na kuongea lugha moja!

Hayo ni maoni yangu lakini!
 
tatizo la msichana wa 19 inategemea na mwelekeo wake kimaisha..wewe uko 27 ushafanya starehe zote so unataka kutulia..mwenzio ndio kwanza maisha anayaanza na anataka ale starehe ka ulizokula wewe sa mtaelewana hapo? ikifika wkend we unataka utulie ndani mwenzio anataka kwenda club hapo sasa...bt kama ni msichana ambae anaonekana ametulia sio mapepe mnaendana vizuri then poa...bt ka anasoma, usubiri angalau amalize shule mana wanaume sometimes mh!!
 
Hahahahaha. . . .
Mwana Mtoka Pabaya una madongo wewe. . .
Haya nshapokea mabusu full tabasamu!!!
Hapo mwaweza kuoana mkafurahia ndoa yenu!but by the time unafika 50 yrs yeye atakua 40's ndio damu inac hemka sana,na wewe unaingia uzeeni!watch out!

Pili bado ana akili za kitoto sana!hamtaweza kukaa chini na kuongea lugha moja!

Hayo ni maoni yangu lakini!

Eti "ana akili za kitoto". . . UNAMJUA?
 
Last edited by a moderator:
tatizo la msichana wa 19 inategemea na mwelekeo wake kimaisha..wewe uko 27 ushafanya starehe zote so unataka kutulia..mwenzio ndio kwanza maisha anayaanza na anataka ale starehe ka ulizokula wewe sa mtaelewana hapo? ikifika wkend we unataka utulie ndani mwenzio anataka kwenda club hapo sasa...bt kama ni msichana ambae anaonekana ametulia sio mapepe mnaendana vizuri then poa...bt ka anasoma, usubiri angalau amalize shule mana wanaume sometimes mh!!

mtotowamjini Sio kila binti wa umri huo anajali sana kuiiachia. Wengine hizo sio interest zetu kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom