ALUTA-CONTINUA ACADEMY. (A.C.A)

May 4, 2019
18
34
Kwa wanafunzi wa A-level tu ( kidato cha 5 & 6 )
Katika somo la ADVANCED MATHEMATICS
(PCM, PGM, EGM)

MAHALI
Centre ipo buguruni rozana mtaa wa bahatisha, usawa wa dereva tax kama unaelekea bondeni mtaa wa pili mkono wa kulia

Kwa wazazi/walezi mliokua na vijana wenu wanaohusika na ADVANCED MATHEMATICS, Niwakaribishe kwa kuwahakakishia maendeleo kwa kijana wako

Wanafunzi wanaochukua ADVANCED MATHEMATICS katika michepuo yao, MNEGRO THE GREAT kwa uhakika wa ufaulu wako

BEI NI NAFUU SANA KULINGANA NA HALI ZA UCHUMI NA PIA BEI NI KULINGANA NA TOPIC HUSIKA,

"UPDATES" ZOTE ZITAKAZO HUSIANA NA A.C.A ZITAPATIKANA HAPA

SAMBAZA KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
MATHEMATICS SIO TENA UGONJWA WA TAIFA

Nakaribisha ushauri, mawazo au aina yoyote ya mawazo katika kujenga

IMG_20190523_132801.jpg
 
Nimeipenda 2nd point: Mwanafunzi afike kituoni then asome 2 days ajiridhishe ufundishaji ndo aendelee kusoma.

Yes, elimu ni biashara but inatakiwa kuwa huduma zaidi. Furaha ya mwalimu bora ni kuona mwanafunzi anafaulu!

Best of luck mwalimu.

Wadogo zangu hima mkajiongezee chances za kutusua mabanda ya namba A level!
 
Naaam mkuu yani Siku mbili bure. 0 cost akiwa haelewi free to move na akielewa lugha ninayo zungumza anakaribishwa sana

Hii nimeiweka hivi kwanza kuweka uaminifu na kujiamini kwa kile ninachoenda kufundisha,

All in All hakuna mwanafunzi atakaye kuja na akatoka mtupu.
 
Nawish ningekuwa nasoma manake bandiko lako linavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kufaulu

Cha msingi lengo liwe hilo hilo kufaulisha na kufundisha mwanafunzi alewe zaidi na sio kukariri...na iwe hivi siku zote,miaka yote,yani isiwe vile mkipata wanafunzi wengi mnaanza 'kulipua'

Kila la heri
 
Nalifanyia kazi na nachukua kama onyo katika kipindi chote,
Nashukuru sana kwa hill

Lakin hii movement updates zako zote zitakua hapa hapa katika huu Uzi
Ngoja kwanza nimalize hii ratiba ya mwezi wa sita then ntafunguka mengi zaidi ya kujenga

Haya ndo Matumizi ya Wenye Akili ya Jamiiforums. I wish Vijana wengi tungekuwa na Akili hii badala ya yale mawazo mfu yasiyojenga Uchumi na Familia zetu.

Nakushauri sana. Zingatia suala la Nidhamu ya kazi. Usije ingiza mahusiano katika hiyo kazi yako ukaharibu kusudio Jema ulilolianzisha.
 
Ushauri kutoka kwa gudume unazingatiwa

Hii movement imeanzia humu na updates muhimu zote zitakua hapa hapa, bado ntahitaji msaada wenu wa kimawazo, ushauri na ufanisi zaidi
 
Good work negro nakujua na kazi zako nshazitumia sana

Kuna kipindi ulikua K/KOO so kule umehama au centre zimekua mbili??
Kwann iwe kitengo cha somo moja tu? Ni vyema ungeongezea walimu wengne ili kuwe na huduma nying
 
Ndugu A-LUTA CONTINUA ACADEMY

Hongera kwa ulipofikia hadi sasa.

Mytake
- Ili ujumbe huu kwenye (posti ya kwanza) uwafikie Walengwa / wanafunzi / walezi wengi zaidi, Fanya yafuatayo

1. Fungua Instagram account
2. Weka post moja, kisha
3. Ifanyie promo kwa kulipia

Sababu walegwa wa rika hilo (Wanafunzi ) asilimia 95 wana insta / facebook account, hivyo watapata ujumbe kwa haraka sana, ila jiandae uwe na eneo la kutosha sambamba na walimu mahili.

==========
Update
- Anzia hapa hapa JF ku_promote hii thread yako, na hakika matokeo utayaona, wasiliana na JamiiForums au Maxence Melo wakupe utaratibu.
Kila lakheri
 
Hatua nzuri.

Ushauri wangu, jaribu kufanya utafiti kuhusu walimu maarufu wa hesabu za Advance waliopo mjini(Mchikichini, Mwenge, Temeke) akina Mwalami, Muhunzi n.k halafu utengeneze programu ambayo ni tofauti na wao ili uvutie wanafunzi.

Asilimia kubwa watu wanaelekeza wadogo/watoto wao waende Mchikichini kwa Mwalami, Temeke kwa Muhunzi au Mwenge maana -ao ndio waliozoeleka sana.

Jitahidi usambaze vipeperushi mapema mashuleni kabla shule hazijagungwa ili wanafunzi wawe washapata taarifa yako.

Tengeneza vipeperushi vya kutosha, tafuta mtu avisambaze shule kubwa za mjini(Azania, Tambaza, Jangwani, Benja, Kibasila, Loyola, Pugu, Minaki) . Vipeperushi vikiwafikia hao na wao watawapasha marafiki zao wengine wa mikoani wanaotarajia kuja kusoma tuit huku mjini.

Hakikisha kazi unaipiga kwa umahiri wa hali ya juu kulingana na uwezo wako, hakuna litakaloshindikana.

Mwanzo ni mgumu, usife moyo, ukipata hata wanafunzi watano piga pindi....
 
Back
Top Bottom