Altas of the Universe (Atlasi ya Ulimwengu)

Altas of the Universe (Atlasi ya Ulimwengu)

Uyu hapa

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2021
Posts
396
Reaction score
480
Habari zenu wakuu
Poleni na majukumu ya kujenga taifa .

Kuna video hii ya [link] YouTube,[\link]

Baada ya kuitazama ningependa tuitathimini Kwa pamoja humu

Uhalisia wake ??? na
Technology iliyotumika kukusanya taalifa hizo ????


Najua Kuna wajuzi wa mambo humu ndio maana nimeleta kwenu hili jambo
 
Back
Top Bottom