Alshabab walifanikiwa kuondoka

Alshabab walifanikiwa kuondoka

Status
Not open for further replies.

Dafugwadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,734
Reaction score
5,249
Ndio habari inayowaumiza vichwa wana usalama wa Kenya wakisaidiwa na wale wa kutoka Nje ni kwamba baada ya kufanya lile tukio la Westgate jamaa walifanikiwa kuondoka salama salmin kwa kupitia mtaro wa maji taka ambao umeambaa mita kadhaa kutoka lilipo jengo walimofanya tukio la kufuru

Source"tbc habari sa2
 
Sasa kama waliondoka siku hyo hyo ina maana wakenya walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe
 
Sidhani kama kuna ukweli..na hao waliotekwa walishidwa vp kutoka?
 
Ila wakenya wameniudhi sana kitendo cha kushindwa kupata angalau mwili wa gaidi aliyekufa!
 
nawakubali sana...watu wanapothubutu na kuweza..ila ingekuwa njema wasingeua ila kuonyesha wanaweza
 
Kama walitoroka wale waliokuwa wanajibu mapambano mpaka siku ya nne walikuwa ni nani?. Naona kama idara za usalama za kenya zinajishusha credit!
 
Sidhani kama kuna ukweli..na hao waliotekwa walishidwa vp kutoka?

Wale jamaa walikuwa na Automatic Guns na zilikua na mikanda ya risasi za kutosha tu si unajua tec ya sasa? Watu wanaset tu na mabomu yanayolipuka kwa muda unaotaka kama vile unavyo set arlam ikuamshe muda gani.
 
kuna kitu kimenisikitisha sana kama kweli ndivyo ilivyo basi tutaendelea kuyasikia haya yakiendelea kutokea eti wale walinzi (security guard) wa westgate walikuwa na miezi miwili hajalipwa mishahara yao
 
Kama walitoroka wale waliokuwa wanajibu mapambano mpaka siku ya nne walikuwa ni nani?. Naona kama idara za usalama za kenya zinajishusha credit!

Ndugu yangu mi siwatetei ila ninachotaka kusema sisi kama Wadanganyika tumejifunza nin?
 
porojo baada ya Mauaji, wale wajahedeen waliuwawa wote, hakuna mjinga wa kiislamu aliyetoka kule!

Vyovyote uonavyo mkuu lakini sisi kama sisi tumejipanga vipi? Tukiacha Uchangudoa wa kidini na kisiasa?
 
kuna kitu kimenisikitisha sana kama kweli ndivyo ilivyo basi tutaendelea kuyasikia haya yakiendelea kutokea eti wale walinzi (security guard) wa westgate walikuwa na miezi miwili hajalipwa mishahara yao

Nayo mpya
 
Duh kama ni kweli hali ni mbaya ila hao TBC habar hiyo wameitoa wapi?Sikumbuki kuona mwandishi wa TBc kwenye tukio jingine wale waliokuwa wanashambuliana ni wanajeshi wa kenya wenyewe kwa wenyewe au ndo mambo ya teknolojia al shabab waliwazidi maarifa?
 
Sasa kama waliondoka siku hyo hyo ina maana wakenya walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe

Mkuu humu watu wengi hawafikiri kabisa na kama wanafikiri sina uhakika kama wanatumia ubongo,kwani kulikuwa na majibizano ya risasi na mateka walikuwa wakishikiliwa ndani,sasa mtu unawezaji kufikiri tu eti walitoka wote?Baadhi wangeweza kutoka na raia lakini si wote.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom