Alshabaab waiteka ikulu ya Somalia

Alshabaab waiteka ikulu ya Somalia

Status
Not open for further replies.

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
638
Al shabaab wameiteka ikulu ya Somalia na mapigano makali yanaendelea baina ya wanajeshi wa Serikali na wanamgambo hao wa Al shabaab. Bado haijafahamika kama Rais wa nchi hiyo kama yuko hapo Ikulu au nje ya Ikulu.
140301112644_somalia_magadishu_car_bomb_512x288_afp_nocredit.jpg

wapiganaji wa AL shabaab


Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kuidhibiti upya ikulu ya rais katika mji mkuu Mogadishu baada ya hapo awali wapiganaji wa kiislamu kuishambulia.

Maafisa wanasema washambuliaji wapatao watano kutoka kundi la al-Shabab - waliuawa walipoingia katika eneo la ikulu hiyo.

Washambuliaji hao wanadaiwa kulipua bomu lililotegwa kwenye gari karibu na langu kuu la Ikulu hiyo.

Waziri wa habari na mawasiliano wa Somalia Mustaf Dhuhulow ameambia BBC kuwa tayari mmoja wa washambuliaji hao amekamatwa na anahojiwa na polisi.

Waziri Mustaf amesema, '' Walishambulia ikulu ya rais saa za jioni. Alikuwa watu washambuliaji watatu pamoja na dereva wao. Washambuliaji hao waliuawa lakini dereva wao alipata majeraha madogo na anazuiliwa na polisi na kuhojiwa. Walijaribu kuvamia Villa Somalia lakini wakakomeshwa. Tutawapa maelezo zaidi baadaye. Na tutaweza kutoa maelezo zaidi kwa raia wa Somalia na dunia nzima.''

140705111940_somalia_512x288_ap_nocredit.jpg

Shambulio la Al shabaab Mogadishu

Hii ni mara ya pili kwa Al Shabaab kuvamia ikulu ya rais mjini Mogadishu mwaka huu japo mara ya kwanza walifanikiwa kuingia ndani.

Rais Hassan Sheikh Mohamoud hakuwepo wakati wa shambulio hilo.

Kundi la wapiganaji wa kiislamu Al shabaab limefukuzwa kutoka mjini Mogadishu tangu mwaka wa 2011 lakini limekuwa likifanya mashambulio ya kuvizia tangu wakati huo.

Wanamgambo hao wanaaminiwa kufanya mashambulio kadhaa pia katika nchi jirani ya Somalia kama vile Kenya, Uganda na Tanzania kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuingia majeshi ya Umoja wa Afrika nchini Somalia.
Chanzo: BBC Swahili
 
Pamoja na mwezi mtukufu wao bado wanatiririsha damu za watu ardhini..........Kuitawala somalia ni kazi.
 
Hatari hii

Somali militants attack palace
Last updated 33 minutes ago



Al-Shabab remains a potent threat in East Africa
Islamist al-Shabab militants have attacked the presidential palace in the Somali capital, Mogadishu, and entered the heavily fortified compound.


An al-Shabab spokesman said fighting was ongoing, but a government official told the BBC the attack was over and the militants had all been killed.


President Hassan Sheikh Mohamud was not at the palace at the time.


The al-Qaeda-aligned al-Shabab group lost control of Mogadishu in 2011, but often carries out attacks in the city.


The group has vowed to step up attacks during the Islamic holy month of Ramadan.


On Saturday, a suicide car bomb exploded near the capital's parliament building, killing at least four people.


The BBC's Mohammed Moalimu in Mogadishu says President Mohamud was attending a function at the residence of the UN special envoy to Somalia, near the airport.


A large contingent of the Somali military police accompanied him, leaving the presidential palace, known as Villa Somalia, mainly under the protection of African Union soldiers, he says.


The presidential palace is the seat of government and many top government officials live and work there.




Villa Somalia is one of the most heavily guarded areas in Somalia
It is not clear if the prime minister and speaker of parliament were in the compound when it was attacked.


"We have entered the so-called presidential palace. We have now captured some parts of the palace and fighting is still going on," al-Shabab spokesman Sheikh Abdiasis Abu Musab told the Reuters news agency.


The spokesman said that 14 government soldiers had been killed in the attack.


However a government official, who asked not to be named, told the BBC the situation was now under control and that attackers had all been killed.


He declined to comment on the number of casualties.


'Bullets flying around'
A security official told the AFP news agency that there were at least nine attackers involved in the raid and all had been killed.




The raid is believed to have started with a car bomb at a barrier near the entrance to the compound, after which the militants attacked from two directions, he says.


Halimo Nure, a local resident, told AFP that bullets were "flying around".


"There is shooting and gunfire, there are also explosions like they are using grenades."


Al-Shabab militants staged a similar attack on Villa Somalia in February when a car bomb exploded at the gate of the presidential palace, followed by a fierce gun battle inside.


A high-level meeting on how to beef up security in the capital was held at parliament on Monday night, a statement from the prime minister's office said.


Despite losing Mogadishu and other key cities over the last three years, al-Shabab still controls many smaller towns and rural areas of the country.


Some 22,000 African Union troops are helping the UN-backed government battle al-Shabab, which wants to create an Islamic state.


BBC © 2014
 
Kenya inabidi waondoe majeshi somalia tu
 
ivi hawa wanamgambo wa al shababu wanatoa wap silaha au kuna mkono wa nchi kubwa?
 
Uko sahihi mkuu kwani hata BBC ndo habari yenyewe natazama muda huu.....almost 20pple have died mpaka sasa

Source: BBC World news
 
Hawa jamaa wana nguvu kuzidi idara maalumu ya usalama ya nchi hiyo?
 
wakuu mbona sasa ni taarifa ya habari ila vyombo vyetu vya habari kama TBC hakuna habari kama hii?
 
Al shabaab wameiteka ikulu ya Somalia na mapigano makali yanaendelea baina ya wanajeshi wa Serikali na wanamgambo hao wa Al shabaab. Bado haijafahamika kama Rais wa nchi hiyo kama yuko hapo Ikulu au nje ya Ikulu.

Source: Sky News

Al shabab vs somali wote ndugu.
 
ikulu ya Somalia huwa inalindwa na Jeshi la Uganda Burundi wakisaidiwa na Ethiopia Pia Kenya hawapo mbali ikiwa kweli kuna mapambano basi lazima vitawahusisha majeshi hayo.
 
Ya kaisari tumuachie kaisari. ya somalia tuwaachie wasomali.. Al shabab inapendwa sana somalia,,, leo somalia ni sherehe kila mahali
 
ivi hawa wanamgambo wa al shababu wanatoa wap silaha au kuna mkono wa nchi kubwa?

Kipindi kile wanaziteka teka Meli walishawahi kuteka meli yenye shehena silaha kibao na zingine huzizeka kwenye uwanja wa mapigano.
 
KDF wako wapi sasa? Nchini kwao hakukaliki... huko walikokwenda kwa nguvu zote ikulu imebebwa......sasa hawa KDF wamejificha wapi? Au wamerudi Westgate kupora soda?
Mbona huulizi UDF na 'BDF' vile vile kwani nao wako huko?
 
KDF wako wapi sasa? Nchi kwao hakukaliki... huko walikokwenda kwa nguvu zote ikulu imebebwa......sasa hawa KDF wamejificha wapi? Au wamerudi Westgate kupora soda?

Ukitaka kujadikili ujadili mambo ambayo upo na uhakika nayo. Jeshi la Kenya halipo Mogadisho. Majeshi ya AU ndio yapo Mogadisho.
 
Ukitaka kujadikili ujadili mambo ambayo upo na uhakika nayo. Jeshi la Kenya halipo Mogadisho. Majeshi ya AU ndio yapo Mogadisho.

Natamani hayo majeshi ya kenya na AU yote yateketezwe na al shabab..al shabab ni mashujaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom