Vipi we kauzu, ile biashara ya unga ulikwishaacha?Majeshi ya Kenya na washirika wake wapo wapi wakawasaidie wenzao kuikomboa Ikulu.
Vipi we kauzu, ile biashara ya unga ulikwishaacha?Majeshi ya Kenya na washirika wake wapo wapi wakawasaidie wenzao kuikomboa Ikulu.
Umeuliza na kujijibu vipi ndugu.ivi hawa wanamgambo wa al shababu wanatoa wap silaha au kuna mkono wa nchi kubwa?
Wajinga tu,.. wanadhani wanaweza kutumia bunduki kulazimisha dunia kufuata imani yao ya kisufi na utamaduni wao. Inafaa dunia kususia mafuta yao kuwanyima fedha ambazo hawajui lipi jema la kufanya nazo.Nchi za kiislam hasa maka na madina
mkuu umenichekesha kweli kweli. da!Ya kaisari tumuachie kaisari. ya somalia tuwaachie wasomali.. Al shabab inapendwa sana somalia,,, leo somalia ni sherehe kila mahali
Nchi za kiislam hasa maka na madina
Hivi wanataka nini hawa? nielimisheni
Nchi za kiislam hasa maka na madina
Nchi za kiislam hasa maka na madina
lawmaina78 ingawa unaugulia maumivu ya kipigo cha brazil vs germany,please pitia hiyo post hapo juu.
Hivi wanataka nini hawa? nielimisheni
Naomba tujadili hili. Hivi unaweza kunambia kwanini Majeshi ya Kenya yako somalia?