Mbona huulizi UDF na 'BDF' vile vile kwani nao wako huko?
Jeshi la Kenya lipo kwenye uwanja wa vita , na jeshi la Uganda na Burundi wao wanazilinda ikulu , wapiganaji wa alshabab ni hatari Maana hawana sare wanavaa kiraia inakuwa vigumu kuwatambua kwa haraka .