shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 127
Godbless J Lema bora angeenda Kalenga tu! Hata huko kwenye bunge la katiba hana cha maana cha kuchangia, sana sana ameona atakosa Posho tu.
kamanda lemma anawakilisha wana Arusha kwenye bunge la katiba na yawezekana kuna maagizo kapewa na wapiga kura wake ayawasilishe!!!!! bunge la katiba ni zaidi ya hizo kampeni! kamanda aliyepo pia namwamini,ni mchapakazi,anajiamini na ni home boys!!!viva CDM!
Last edited by a moderator: