Alphonce Mawazo ateuliwa kuwa meneja Kampeni Kalenga

Alphonce Mawazo ateuliwa kuwa meneja Kampeni Kalenga

hao wapo poa , ila leo napinga huo upotoshaji wenu humu , ila kuna uwezekano kuna faida mnapata kutokana na hayo mambo.

ngoja nirudi kiwanja cha nyumbani.

usiku mwema.

Mkuu mi sipo kati ya unaowatuhumu..

Alphonce Mawazo ni msukuma ninamjua vyema...

Poa mkuu wasalimie sana nyumbani..

Salamu nyingi kwa shansarie Madame B grafani11 na wngine wengi maana nasikia Huko nyumbani wageni wengi siku hizi nitawatembelea nikipata muda

Nawapenda wote..

Wasalaaam!!
 
Last edited by a moderator:
lusungo huko kalenga kuna nini mpk useme cdm inaenda kupoteza pesa?
 
Last edited by a moderator:
CDM nimpango wa Mungu, watashindana lakini kushinda hapana. Mawazo si mchaga ni Mtanzania
 
Lema kashajua mapema kuwa kalenga hawataki vurugu ndo maana kajiondoa mapema cdm kalenga ni kazi bure.

hivi kweli mtu mroho wa pesa na mwizi wa magari kama lema aache posho ya 300,000 bungeni aende kupiga kampeni isiyokuwa na maslahi yake binafsi kalenga? nilijua tu lema lazima atachomoa.... wapiga kura wake wamefukuzwa juzi arusha na amegoma kuacha posho na kwenda arusha, ije kuwa kalenga?
 
​CDM kama wanapenda ushauri wasipoteze mda wao na fedha zao KALENGA wataambulia patupu hizo hela za campaign bora wazielekeze kwenye wilaya na mikoa wasikopeleka ruzuku

Ahsante sheikh HAYAHAYA wa pili,ila safari hii it's against all odds.
 
hivi kweli mtu mroho wa pesa na mwizi wa magari kama lema aache posho ya 300,000 bungeni aende kupiga kampeni isiyokuwa na maslahi yake binafsi kalenga? nilijua tu lema lazima atachomoa.... wapiga kura wake wamefukuzwa juzi arusha na amegoma kuacha posho na kwenda arusha, ije kuwa kalenga?

Na kipigo mnacho tu hadi mkome kumteua alien ilhali Kalenga ina watu kibao tu.
 
Nimewashauri cha msingi sana...

kama wanataka kuwekeza hela nyingi kwenye uchaguzi huu kama yale ya chopa basi watalia maana watashindwa
umewadharau sana wana kalenga! Yaani umeona wanakalenga ni wa kuburuzwa tu na ccm?
 
Mijitu ya ajabu sana nyie?

Kwani huko Kalenga hakuna mtu anayeweza kuwa campaign managaer mpaka lazima awe mchaga?

Mkuu hilo ni genge la wachaga wachumia tumbo. Lazima wamlete mchaga ili alinde masirahi ya genge hilo.
 
Bila kutaja wachaga husikii raha kabisa?????
hivi na yule mgombea wa chadema ni mchaga???

Kwanini kampeni meneja atoke uchagani?? Kwani Kalenga hakuna mwanachadema anayeeeza kuwa meneja????
 
Lema kashajua mapema kuwa kalenga hawataki vurugu ndo maana kajiondoa mapema cdm kalenga ni kazi bure.
tatizo la ccm wanaamini watanzania wote wasiojitambua ni mali yao. Kama huko kalenga, mpaka ccm inamrithisha jimbo mtoto wa marehemu ikijua sio lolote kwa wanakalenga! Dhambi hii ya kuwadharau wana kalenga haitawaacha salama wana ccm hata kama watashinda huko kalenga kwa hujuma!
 
hivi kweli mtu mroho wa pesa na mwizi wa magari kama lema aache posho ya 300,000 bungeni aende kupiga kampeni isiyokuwa na maslahi yake binafsi kalenga? nilijua tu lema lazima atachomoa.... wapiga kura wake wamefukuzwa juzi arusha na amegoma kuacha posho na kwenda arusha, ije kuwa kalenga?

wapiga kura wapi wamefukuzwa? kwanini wamefukuzwa? ulitaka awasaidiaje?...
 
Mijitu ya ajabu sana nyie?

Kwani huko Kalenga hakuna mtu anayeweza kuwa campaign managaer mpaka lazima awe mchaga?

unaweza kulibadilishia mwelekeo hili swali lako, lisomeke
"kwani huko kalenga hakuna mtu anayeweza kugombea ubunge mpaka ccm mumlete mkazi wa uingereza?"

Toa mrejesho wa rambirambi kama hujapeleka nakuamuru peleka haraka.
 
Wewe kweli chizi! Aliyekwambia Mawazo ni mchaga nani? Sometime uwe unaficha upumbavu wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom