DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Wanabodi
Kutokana na juhudi kubwa alizozionyesha katika operesheni ya tokomeza ccm kanda ya ziwa Kamanda Alfonce Mawazo anatajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa watakaorithi mikoba ya naibu katibu mkuu wa chadema.
Hii pia inachagizwa na moyo wa kujitolea wa kamanda huyu kwani amefanikiwa kuzunguka bila kutumia resources za chama huku akikerwa vilivyo na umaskini wa watanzania.
Miongoni mwa matukio ya chama kutambua mchango wa kamanda mawazo ni hatua ya kuteuliwa kuwa meneja kampeni wa mgombea ubunge kalenga hivi karibuni.
Mawazo ni mmoja ya wanasiasa 'waliotengenezwa' na mbunge kisiki wa Arusha Mjini Godbless Lema.
Declare interest.
MAWAZO aliwahi kuwa mwalimu wangu Bondeni Bakwata Sekondari.