Alphonce Mawazo ateuliwa kuwa meneja Kampeni Kalenga

Alphonce Mawazo ateuliwa kuwa meneja Kampeni Kalenga

unaweza kulibadilishia mwelekeo hili swali lako, lisomeke
"kwani huko kalenga hakuna mtu anayeweza kugombea ubunge mpaka ccm mumlete mkazi wa uingereza?"

Toa mrejesho wa rambirambi kama hujapeleka nakuamuru peleka haraka.

haji tena huyu mbulula...
 
Mkuu mi sipo kati ya unaowatuhumu..

Alphonce Mawazo ni msukuma ninamjua vyema...

Poa mkuu wasalimie sana nyumbani..

Salamu nyingi kwa shansarie Madame B grafani11 na wngine wengi maana nasikia Huko nyumbani wageni wengi siku hizi nitawatembelea nikipata muda

Nawapenda wote..

Wasalaaam!!
Karibu sana nyumbani..
 
Mijitu ya ajabu sana nyie?

Kwani huko Kalenga hakuna mtu anayeweza kuwa campaign managaer mpaka lazima awe mchaga?

We ulitaka awe Mhehe?Unaendekeza ukabila wakati huo huo mnasema ukabila CCM hakuna.Wewe mawazo ya kikabila umepata wapi?
 
Hii ni kutokana na Kampeni meneja Kamanda Lema kuzongwa na majukumu ya bunge la Katiba.
Godbless J Lema bora angeenda Kalenga tu! Hata huko kwenye bunge la katiba hana cha maana cha kuchangia, sana sana ameona atakosa Posho tu.
 
Last edited by a moderator:
Maccm mbona huwa hamuachi dhambi ya ubaguzi? Sasa hivi mnamsingizia mawazo kuwa mchaga? Yani kwa ccm siasa bila ukabila na udini haiendi?
 
mawa zo ujue ccm wananumua kadi za kupigia kura gazeti lao la uhuru leo wameeandika kinyume chake inakera sana ukiona propaganda za kijinga zinafanywa na habari leo
 
Mkuu mi sipo kati ya unaowatuhumu..

Alphonce Mawazo ni msukuma ninamjua vyema...

Poa mkuu wasalimie sana nyumbani..

Salamu nyingi kwa shansarie Madame B grafani11 na wngine wengi maana nasikia Huko nyumbani wageni wengi siku hizi nitawatembelea nikipata muda

Nawapenda wote..

Wasalaaam!!

mi huku isiwe unaniita nimeangalia nikakuta ni jukwaa la siasa kidogo nizimie i hate it
 
mi huku isiwe unaniita nimeangalia nikakuta ni jukwaa la siasa kidogo nizimie i hate it

Oh sorry jmn ni hamu tu ya kupakumbuka nyumbani imenifanya nikutaje....

nimewamic mno huko home....

nisalimie wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom