GIBA KB
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 367
- 111
Kutoka katika facebook page ya Alphonce Mawazo ameandika kwamba Chadema imemteua kuwa kampeni meneja wa mgombea ubunge jimbo la Kalenga Hii ni kutokana na Kampeni meneja Kamanda Lema kuzongwa na majukumu ya bunge la Katiba.
CCM wanadhani wamepumua kumbe bado.Huyu jamaa anajiamini sana na naweza mlinganisha na Lema kwa kiasi fulani. Hana Woga
Chapa kazi kamanda ukiwa na kamanda kibaila.
Pamoja daima....M4C daima
CCM wanadhani wamepumua kumbe bado.Huyu jamaa anajiamini sana na naweza mlinganisha na Lema kwa kiasi fulani. Hana Woga
Chapa kazi kamanda ukiwa na kamanda kibaila.
Pamoja daima....M4C daima