kapuchi hiyo ni shule ya Rais wa Mioyo ya watu ! ..... yule aliyekuwa anawaambia wafuasi wake elimu, elimu, elimu. Na itakuwa bure kutoka chekechea mpaka chuo kikuu !Mheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam
Ada ziko juu sana ..ada ya mtoto anaetaka kukaa Bweni ni shs milini tano na laki sita...bado michango mingine mingine
Raisi wetu mpendwa njoo utusaidie wananchi wako tunaimia sana pamoja na kuwa elimu ni haki ya kila mtanzania
na FEZA School pia jipu litumbuliweMheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam
Ada ziko juu sana ..ada ya mtoto anaetaka kukaa Bweni ni shs milini tano na laki sita...bado michango mingine mingine
Raisi wetu mpendwa njoo utusaidie wananchi wako tunaimia sana pamoja na kuwa elimu ni haki ya kila mtanzania
Hilo ndilo la muhimu lakini sijui kama tutarudi huko!Serekali haina haja ya kuangaika na ada elekezi kwa shule binafsi ila.ingejizatiti na kuimarisha la serekali zitoe huduma mzuri,hizi za zingejifia taratibu tu.Miaka.ya themanini.mpaka tisini.mwanzoni.shule za binafsi zilikuwa wanaenda watu.walioshindwa shule au.wamefeli.Ilikuwa mzazi.anakazana.mtoto afaulu darasa la saba ili mtoto aende shule ya serekali sasa baada ya kubadilishwa sera na viongozi na wafanya biashara kuanza kufungua shule zile za serekali zikawa haziangaliwi tena ili wao wapate wateja na ndio tulipofikia.Sasa kurevesi hii kitu ni kuanza kutoa huduma bora na kufanya shule zote kutumia mtaala mmoja,vitabu vya aina moja bila kujali hii ni english medium or not.Shule zote ziwe zinafundisha kiingreza na kiswahili tangu mwanzo na kiingreza kwa masomo yote au kiswahili.Yaani tunaitaji uniformity na consistency.Otherwise mnajisumbua kwani mtoto wa raisi mwenyewe anasoma private ushangai kwa nini amekuwa rais tu mtoto akapelekwa feza school na sio Azania au Tambaza.
Unazungumzia Rais gani mkuu!?Serekali haina haja ya kuangaika na ada elekezi kwa shule binafsi ila.ingejizatiti na kuimarisha la serekali zitoe huduma mzuri,hizi za zingejifia taratibu tu.Miaka.ya themanini.mpaka tisini.mwanzoni.shule za binafsi zilikuwa wanaenda watu.walioshindwa shule au.wamefeli.Ilikuwa mzazi.anakazana.mtoto afaulu darasa la saba ili mtoto aende shule ya serekali sasa baada ya kubadilishwa sera na viongozi na wafanya biashara kuanza kufungua shule zile za serekali zikawa haziangaliwi tena ili wao wapate wateja na ndio tulipofikia.Sasa kurevesi hii kitu ni kuanza kutoa huduma bora na kufanya shule zote kutumia mtaala mmoja,vitabu vya aina moja bila kujali hii ni english medium or not.Shule zote ziwe zinafundisha kiingreza na kiswahili tangu mwanzo na kiingreza kwa masomo yote au kiswahili.Yaani tunaitaji uniformity na consistency.Otherwise mnajisumbua kwani mtoto wa raisi mwenyewe anasoma private ushangai kwa nini amekuwa rais tu mtoto akapelekwa feza school na sio Azania au Tambaza.
Jk mtoto wake alisoma Kibaha boys usiongee kitu usichokijuaSerekali haina haja ya kuangaika na ada elekezi kwa shule binafsi ila.ingejizatiti na kuimarisha la serekali zitoe huduma mzuri,hizi za zingejifia taratibu tu.Miaka.ya themanini.mpaka tisini.mwanzoni.shule za binafsi zilikuwa wanaenda watu.walioshindwa shule au.wamefeli.Ilikuwa mzazi.anakazana.mtoto afaulu darasa la saba ili mtoto aende shule ya serekali sasa baada ya kubadilishwa sera na viongozi na wafanya biashara kuanza kufungua shule zile za serekali zikawa haziangaliwi tena ili wao wapate wateja na ndio tulipofikia.Sasa kurevesi hii kitu ni kuanza kutoa huduma bora na kufanya shule zote kutumia mtaala mmoja,vitabu vya aina moja bila kujali hii ni english medium or not.Shule zote ziwe zinafundisha kiingreza na kiswahili tangu mwanzo na kiingreza kwa masomo yote au kiswahili.Yaani tunaitaji uniformity na consistency.Otherwise mnajisumbua kwani mtoto wa raisi mwenyewe anasoma private ushangai kwa nini amekuwa rais tu mtoto akapelekwa feza school na sio Azania au Tambaza.
Maajabu ya Tanzania haya, wakati za serikali zimejaaa kila kata zipo, wanachokililia sijui ni kipiInashangaza mtu anapolia na ada ya shule za private....ilhali kuna shule za serikali
Badala ya kulia serikali iboreshe shule zake...mazingira librari madarasa maabara msosi usafiri nk nk nk zitoe elimu bora na si bora elimu...ili watoto wakasome huko na hii itafanya shuke za binafsi zishushe bei zenyewe
Kweli kabisa mkuu kwani wamelazimishwa kuwapeleka watoto wao huko Alpha sijui Omega walipe tuMaajabu ya Tanzania haya, wakati za serikali zimejaaa kila kata zipo, wanachokililia sijui ni kipi
Hamlazimishwi kuwapeleka watoto kwenye shule hizo.....Mbona shule zetu za kata zipo fresh tu na tunafundisha fresh tu,hebu waleteni hukuna FEZA School pia jipu litumbuliwe
Inashangaza sana mkuu...tena huku kayumba tupo walimu wenye sifa kabisa,kilichopo ni mazingira tu ya kufundishia na kujifunza ndo yaboreshweInashangaza mtu anapolia na ada ya shule za private....ilhali kuna shule za serikali
Badala ya kulia serikali iboreshe shule zake...mazingira librari madarasa maabara msosi usafiri nk nk nk zitoe elimu bora na si bora elimu...ili watoto wakasome huko na hii itafanya shule za binafsi zishushe bei zenyewe