S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,616
- 32,723
Naunga mkono hoja! Huyo mpumbavu sio wa kumjadili hata kidogo... Aachwe anyee ndoo maana alijitakia
Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili Lengai Ole sabayz badala ya kujikita kwenye shughuli za maendeleo.
Source: Star tv
Unajua maana ya neno NGULI?Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili Lengai Ole sabayz badala ya kujikita kwenye shughuli za maendeleo.
Source: Star tv
Watangazaji wa hicho kituo hawajawahi kuwa huru.Kwahiyo yeye hapo hajamjadili?
Kwa mujibu wa magamba ukimtaja Sabaya ni kosaShughuli ya nani ya maendeleo iliyosimama kwa mjadala wa sabaya???
PumbafWatanzania unaweza kuanzisha tukio la kipumbavu tu ukawatoa kwenye reli, wakaanza kuzungumzia hilo tukio wiki nzima wakaacha mambo ya msingi.
Sasa wiki hii na wiki ijayo ni Sabaya tu. Sabaya got what he deserves, watu wangeendelea na mada zenye mashiko, sasa Sabaya weee mwezi mzima.
Anyway, labda hii inawapa faraja kwa namna moja ama nyingine ila haibadili mustakabali wa maisha yao.
Kama Aloyce Nyanda anaiona tukio la Ole Sabaya ni la kawaida basi usimuite Mtangazaji Nguli, muite Mtangazaji Kanjanja.Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili Lengai Ole sabayz badala ya kujikita kwenye shughuli za maendeleo.
Source: Star tv
Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili Lengai Ole sabayz badala ya kujikita kwenye shughuli za maendeleo.
Source: Star tv
Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili Lengai Ole sabayz badala ya kujikita kwenye shughuli za maendeleo.
Source: Star tv
Hahahaaaa.......!Bwashee kakoleza mjadala wa Sabaya kiaina. Aisee