Mbunge wa Vunjo Aloyce Kimaro amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi hapo jana akiwa Dodoma. Kimaro aliugua jana na kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadae kusafirishwa kwa ambulance na kupokelewa leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
mara kwa mara wagonjwa wahamishwe toka hapo hadi Muhimbili and then sometimes from Muhimbili to another foreign hospital.