Alone but happy

Alone but happy

finally you have thrown up the sponge

waving-white-flag.gif
[h=3]Natafuta girlfriend nna miaka 21,nipo dar[/h] Started by Khaleed Shaban, 22nd June 2014 12:24
[h=3]Natafuta mke[/h] Started by Khaleed Shaban, 16th July 2014 09:04
[h=3]I need girlfriend[/h] Started by Khaleed Shaban, 21st July 2014 12:36
[h=3]Mapenzi na Elimu[/h] Started by Khaleed Shaban, 14th August 2014 07:
[h=3]Nimerudi tena baada ya kuumia vya kutosha![/h] Started by Khaleed Shaban, 15th August 2014 23:37

Tyta umetisha mkuu!
 
Kumbe tuko wengi......nilijua peke yangu tu.....am alone not LONENLY!am enjoying every bit of it!
 
Kumbe tuko wengi......nilijua peke yangu tu.....am alone not LONENLY!am enjoying every bit of it!

pamoja mkuu,tupo weng tu na wengine watakuja ila sasaiv wanaona noma kusema kuwa wapo lonely
 
ni kujidanganya tu umeshapigwa chini unajifanya alone...poleeeee...kisaikolojia tunaita defence mechanism...vijana wa kileo wanasema unapretend
 
finally you have thrown up the sponge

waving-white-flag.gif
[h=3]Natafuta girlfriend nna miaka 21,nipo dar[/h] Started by Khaleed Shaban, 22nd June 2014 12:24
[h=3]Natafuta mke[/h] Started by Khaleed Shaban, 16th July 2014 09:04
[h=3]I need girlfriend[/h] Started by Khaleed Shaban, 21st July 2014 12:36
[h=3]Mapenzi na Elimu[/h] Started by Khaleed Shaban, 14th August 2014 07:
[h=3]Nimerudi tena baada ya kuumia vya kutosha![/h] Started by Khaleed Shaban, 15th August 2014 23:37

Tyta tisha sana,hahahaaa.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine ni bora uwe mwenyewe{mpweke},vlakini mwenye furaha kama mimi kuliko kuwa na mwenzi wako(mpenzi), alafu kila siku maumivu mpaka unakosa raha.

Haujachelewa unaweza kuwa kama mimi na maisha yakaenda vizuri kabisa.

Alone but happy
Sijui umechukua kigezo gani cha kusema kuwa alone ukaweka upweke kwenye mabano halafu uwe happy,inawezekana ukawa wewe ndio tatizo ina maana umemaliza wote ukagundua kuwa ni bora uwe alone,wapo wengi tu ambao ukitulia na kufanya RIGHT selection bila ya papapra wanaweza kukufanya ukawa na furaha kuliko huo upweke unaoujengea hoja kuwa una furaha.Ushauri, usiwe mtu wa kukata tamaa yawezekana bado ni kijana sana hivyo hujui furaha ya kuwa wawil,i nina uhakika utakapofika umri kama wangu utagundua umefanya bonge la kosa kuamua ku chukua hiyo njia.
 
Back
Top Bottom