tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Wakati alishakuaja na uzi wake hapa kua anatafuta mchumba sijui mpenzi, kwani alikua ajajua kua Alone but happy au ndo kajitoa ufahamu
si ndo apo, me nashindwa Ata kunshangaa
Wakati alishakuaja na uzi wake hapa kua anatafuta mchumba sijui mpenzi, kwani alikua ajajua kua Alone but happy au ndo kajitoa ufahamu
kama anavihela naomba kumpa kampani jamani kwa nini awe alone bwana
si ndo apo, me nashindwa Ata kunshangaa
hahahaha miss chagga ye kasema pesa zikiisha let it go.....but zikiwepo let it in...Hahahaa ila miss chagga kasema kama anaela asiwaze kasha pata wakumpa furaha,lakini kama hana apite ivi.....................>
hahahaha miss chagga ye kasema pesa zikiisha let it go.....but zikiwepo let it in...
luv u bby, nakumisije ujue.
Nahisi nikimuona mtoa mada ndo naweza kucomment.
Kwa sasa ngoja nikatafute maboga nile
Wewe sindie uliletaga thread hapa kuwa watafuta manzii imekuaje ujampata bado?
Maana naona alone but happy hayo yote nibaada ya kusearch weeeeeee na kumkosaeeee!!
Cc miss chagga my mutani njoo huku haraka sana Khantwe na wewe tupiamo jicho hapa faster kama google
Siunajua mchagga anavyo ijua pesa kama namba yake yakiatu hahahah
Inatokea my dia....unaweza ukawa ulipenda kuwa na mahusiano lakini kila ukiingia kwenye mahusiano unajikuta unaumia tu....ni bora ubaki mwenyewe uwe na furaha
hahahaha chezea mchaga wewe, kila pesa ake anakariri zile namba, ikipotea anaripot polisi anatafuta pesa yenye namba BR0208068
hahahahaha hawa watani wangu hawa nibalaa
Inabidi ni MP kwaniaba yako nimpelekee ujumbe kua eti na miss chagga hela ipo stay tune miss chagaa na kuletea mainfo sasaivi sawaeee!!
Nakusubiria nahitaji kuhudumiwa aisee
kama vipi aweke picha
finally you have thrown up the sponge
[h=3]Natafuta girlfriend nna miaka 21,nipo dar[/h] Started by Khaleed Shaban, 22nd June 2014 12:24![]()
[h=3]Natafuta mke[/h] Started by Khaleed Shaban, 16th July 2014 09:04
[h=3]I need girlfriend[/h] Started by Khaleed Shaban, 21st July 2014 12:36
[h=3]Mapenzi na Elimu[/h] Started by Khaleed Shaban, 14th August 2014 07:
[h=3]Nimerudi tena baada ya kuumia vya kutosha![/h] Started by Khaleed Shaban, 15th August 2014 23:37
But alone atakua ivyo mpaka lini mpenzi?
Itafika tena wakati atataka tena kuwa katika mausiano,na kumbuka solution sio kulikimbia tatizo ispokuwa kulitatua anatakiwa atafute aliye sahihi kwake!
finally you have thrown up the sponge
Natafuta girlfriend nna miaka 21,nipo dar![]()
Started by Khaleed Shaban, 22nd June 2014 12:24
Natafuta mke
Started by Khaleed Shaban, 16th July 2014 09:04
I need girlfriend
Started by Khaleed Shaban, 21st July 2014 12:36
Mapenzi na Elimu
Started by Khaleed Shaban, 14th August 2014 07:
Nimerudi tena baada ya kuumia vya kutosha!
Started by Khaleed Shaban, 15th August 2014 23:37