Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Naona tumepishana kidogo KUTAFUTA-Nilikuwa na maanisha kuwa mleta thread amtafute mtu ambaye anajua atakuwa mtu sahihi kwakwe na kupata mapenzi ya kweli na kuyafurahia na sikuwa na maanisha kua wewe ndo uatafute, hope ushanielewa mumy
Unapozungumzia 'kutafuta' unamaanishaje? Af kumbuka mi wa kike sijui natafutaje. Mimi ninachojua mtu unatakiwa ufurahie mahali ulipo....kama ukimpata wa ukweli ni amina lakini huku 'kutafuta ' ndiko kunawaponza wengi na kujikuta unaishia kwenye mahusiano ya ovyo