Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

kama hujui jambo bora uulize kabla ya kuja kujiaibisha namna hii.

sikutegemea hili litoke kwako.

unajiaibisha mkuu. futa ama edit hii thread. hujui mambo ya madini. nyamaza.
Toa correct arguments,acha kubwabwaja
 
Nimeelewa na ndiyo maana nimeuliza jee inawezekana kukapatikana kwa kilo 19.5 kwa wakati mmoja? Kuwa na Karati 350 hadi kilo 19.5 kama inawezekana basi inawezekana pia mtoa taarifa yupo sahihi. Hoja yangu hapa ni jee kama taifa hatujawahi kusafirisha kilo zaidi ya 19 kwa wakati mmoja?
Hapa ishu kuu ni bei iliyotajwa haiendani na hizo kilo 19.5 Hebu basi turudi mahakama ya Kenya.
 
Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
Ukweli unajibiwa kimbumbumbu, Tanzania tumekua mijitu ya ajabu.Wew mwenyewe hujui maana ya carat.Natumia kilo mbili za Maji???
 
Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
Hujui hata tofauti ya quality & quantity
 
Taarifa nyingi za wandishi wetu dosari za hesabu ni kawaida. Soma la hesabu liongezwe au lisisitizwe kwenye kozi yao.
 
Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
Sasa kama wamepima mawe yenye almasi thamani yake wameitoa wapi............ wamgesena thamani yake haijulika labda ningeona wana akili vinginevyo unatetea uzwazwa tu
 
kama hujui jambo bora uulize kabla ya kuja kujiaibisha namna hii.

sikutegemea hili litoke kwako.

unajiaibisha mkuu. futa ama edit hii thread. hujui mambo ya madini. nyamaza.

Wewe ujinga unadhani ni sifa, umepinga nini sasa hapa? Umepinga hoja au umepinga jina la mtoa hoja kwa vile umemfahamu?
Achana na uzito wa mzigo kwanza, hilo la kuwa mgodi huo ni mali ya mwekezaji na serikali kwa pamoja halikufikirishi?
Hapo kama kuna wizi unafanyika kwanini wezi wasiwe ni hao Wawekezaji pamoja na serikali?
Maana serikali haijawahi kusema mwekezaji mwenye 75% kawaibia wao wenye 25%
Kama mambo hayo yanatokea basi serikali hii ya awamu ya tano kwa miaka hii miwili itakuwa inaibiwa sana na yenyewe kwa uzembe wake imekalia mambo ya kijinga ya kutafuta sifa tuu na huku inapoteza makubwa. Haina sifa tena za kuendelea kuongoza (ingawa yenyewe inaita kutawala) nchi kwani hasara kama hizi ukizijumlisha kwa mwaka waweza kutoka machozi ya damu.
Hata kama ccm wanawalipa kwa vipost vyenu (ushahidi upo) tumieni basi akili kidogo la sivyo mnadhidi kumdhalilisha paymaster wenu
 
Leo tunaweza kuambiwa tusikose kukaa pembeni ya luninga zetu kuangalia mubashara Rais akitembelea Airport kujionea Almasi iliyokamatwa na atazungumza na taifa.
Nchi imerudi nyuma miaka 40
 
Yericko ni kweli kwenye hizi habari, kuna information haki sawa. It cannot be one diamond piece at 19.5kg , his Ingekuwa world record.

Lakini na wewe pia hache tabia za kuwalisha watu uongo ama information hiyo na uhakika. One carat ya almasi huwezi kuwa $5000; kwanza almasi bei zake zinapangwa kutegemea na uzuri wake, Rangi, mkato nk:
Jifunze kwenye link hii: Learn About Diamond Prices So You Don't Get Ripped Off & Overpay

Polo wewe kila kitu ni siasa. Her kwa sababu kenya wamefuta ushindi wa kiongozi mliyekuwa mnamunga maoni, kwa hivyo serekali ya magufuli anafanya propaganda hizo habari zi fifie, au unasema idara za serekali zisifanye kazi zao.

Tunashindwa kuwaelewa nyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati ya Bunge inachunguza huu mgodi, Serikali imewawahi kutoa taatifa ili mambo yasiwe magumu kwenye uwasilishaji wa report Bungeni..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom