1 Gram = 5 CaratMadhara ya kukariri, hujui hata convertion ya Carat to Kilogram? soma hii link halafu upekele hiyo post kwa wachovu wenzio.
Carats to Kilograms conversion
Halafu mambo ya Katiba ya Warioba yanaingiaje kwenye Carat?
Upo sawa kabisa Dada yangu kuna kale kamchezo kalikokua kakifanywa na wanunuzi wa ROUGH DIAMOND STONES wananunua mzigo wakishakamilisha Lots zao wanapeleka wizara ya Madini ILI zihakikiwe na walipie kodi zake ambazo ni 4% wapigiwe Sealed kabxa na wapate tu CERTIFICATE kutoka ofisi ya madini ...sasa kama mzigo unathamani wa dola laki wanatoa kitu kidogo kwa hao wahusika mzg unashushwa thamani unakua wa dola Elf20Wewe kweli hamnazo.
Kwanza napenda uelewe kuwa inawezekana kabisa. Almasi hupimika kwa uzito pia.
Pia elewa kuwa si kila almasi itokayo Mwadui huwa ni kiwango cha "gem", nyingi ni " "industrial" na hupimwa kwa uzito.
Hata ikiwa ni gem nazo pia hupimwa kwa uzito.
Kilo 19.5 za almasi zinawezekana kabisa kuwa ni sahihi na hata zaidi ya hapo.
Bei za Industrial quality diamonds zinaendaje kwa sasa?
Kama hauna jibu ujielewe kuwa u punguani.
Kwa jinsi nilivyozielewa hizo habari, hizo almasi zimezuiliwa ili zithaminishwe upya na si kuwa zimeshikwa kwa kuwa kuna kosa la kuzitorosha. Ni kama Makinikia tu.
Published on 5 Dec 2015
Mgodi Wa Almasi Mwadui Waombwa Kuanza Kulipa Kodi
Serikali imetoa agizo katika uongozi wa mgodi wa almasi wilaya ya Mwadui, Shinyanga Tanzania na kutaka uzalishe zaidi, kupunguza gharama za uzalishaji na waanze kulipa kodi ya mapato.
Mrabaha wa almasi kwa mwaka 2015 ulikuwa unaipatia serikali Tshs. bilioni 30 na kodi ya mapato bado mgodi wa Petra hawajaanza kulipa yaani ni sifuri yaani Tshs. 0. Uzalishaji wa mgodi ni kuwa wanapata karati 5 kwa kila tani mia moja ya mchanga yaani gramu 1 kwa kila tani mia ya mchanga.
Source: Simu TV
Carat ni kipimo cha kufanyia biashara tu. Kumbuka kuwa almasi inakatwa vipande vidogo na kuchongwa. Hivyo kuwa na vipande vidogo vingi ukaviweka katika mzani wa kawaida na kupata uzito kwa kilo siyo ajabu. Nakumbuka Alma's kubwa ya zote iliyowahi kuchimbwa ilikuwa na uzito wa zaidi ya carat 500.Nimeelewa na ndiyo maana nimeuliza jee inawezekana kukapatikana kwa kilo 19.5 kwa wakati mmoja? Kuwa na Karati 350 hadi kilo 19.5 kama inawezekana basi inawezekana pia mtoa taarifa yupo sahihi. Hoja yangu hapa ni jee kama taifa hatujawahi kusafirisha kilo zaidi ya 19 kwa wakati mmoja?
Kwa cc wachimbaji wadogowadogo na kwa jinsi tunavoijua Almasi jamani hii sehem tuiheshimu saaana..
Hapa hakuna cha TANZANITE.DHAHABU..RUBY..sijui green tomarine au blue siphire
Almasi ukijaaliwa kuipata karanga tu...
Kesho utarushwa hadi YOUTUBE
Sent from Calculator Phone vesion007
Kajiaibisha wapi? We ndo unajiaibisha kwa kuongea madudu hapakama hujui jambo bora uulize kabla ya kuja kujiaibisha namna hii.
sikutegemea hili litoke kwako.
unajiaibisha mkuu. futa ama edit hii thread. hujui mambo ya madini. nyamaza.
hahahahaaaaaa!Hivi ni sahihi kusema mtu kanunua nyama yenye UZITO wa MITA mbili? au kakimbia umbali wa Lita tatu?
Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
hii thread ni kipimo namna bavicha mlivyo weupe vichwani.Kajiaibisha wapi? We ndo unajiaibisha kwa kuongea madudu hapa
Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
Mimi natokea Mwadui, kilo 19 za almasi mtasubiri sana.Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
Hivi ni sahihi kusema mtu kanunua nyama yenye UZITO wa MITA mbili? au kakimbia umbali wa Lita tatu?
Bunduki tunaonyeshwa, mabomu tunaonyeshwa, mihadarati tunaiona.Hebu weka na picha za hiyo almas iliyo kamatwa.
Kwani uchimbaji wa dhaabu umesitishwa?Sitasema maneno mengi.
Kwa mtazamo wangu, huenda tunataka tena au ikawa ni mwanzo wa kusitisha uchimbaji wa Almasi kama tulivyofanya kwenye makinikia.
Ni hayo tu
Kwenye uzito naona nyerere kapotea kidogo ila tukirudi kwenye hayo mengine habari hii ya kukamatwa dhahabu ni UONGO na UZUSHI wa kuwaondoa WATU KWENYE MAMBO MUHIMU.Sasa hata kama hiyo almasi ina ukubwa kama wa yai je kama vipande viko vingi wakaweka kwenye mzani wa kawaida???
Sitasema maneno mengi.
Kwa mtazamo wangu, huenda tunataka tena au ikawa ni mwanzo wa kusitisha uchimbaji wa Almasi kama tulivyofanya kwenye makinikia.
Ni hayo tu
Ramli!Sitasema maneno mengi.
Kwa mtazamo wangu, huenda tunataka tena au ikawa ni mwanzo wa kusitisha uchimbaji wa Almasi kama tulivyofanya kwenye makinikia.
Ni hayo tu