Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

Carats,Tonnes,Kilo,grams,ounces, etc ni vipimo vya uzito.All units are convertible. Point yako kubwa kwenye mada ni thamani ya hizo Almasi na hiyo hoja ya 25% Shares.
 
Nimefurahi kukutana mtu mwenye ufahamu wa mambo haya
Mwambie ndugu Yericko madini sio Kokoto za kujengea
Akajifunze maana ya Game stone na caption ndio aje hapa

Siasa yumo.......
Sheria yumo.....
Madini yumo......
Gesi...........
Ujasusi......

Chagua kimoja hapo tukuelewe sio kudandidandi treni ovyo
Chuki na wivu ni tatizo, hisia hasi tulizonazo juu ya watu zinatuondolea ufaham, kumbe hoja pinzani ulizonazo sababu jamaa yupo kona nyingi...? Inawezekana hata kwako pia, ni interest tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari ya kilo 19.5 za ALMASI uwanja wa ndege Dar ni uongo wa karne, au ni makosa ya mtoa taarifa kwa wanahabari, au waandishi wa habari ni wajinga wakupindukia hawahoji jambo wao wakipewa umbeya wanaandika tu.
Duniani Tz ndio wazalishaji wa Almas, Hatuna almas duniani inayopimwa kwa "kilo".

Alma's inapimwa kwakipimo cha karati (Carat) na Alma's Kubwa kabisa ina cheza kwenye karat 350 tu, yaani saizi ya yai la kuku tu.
Kampuni iliyotajwa katika wizi huo ni mbia na Serikali ya Tanzania katika biashara ya uchimbaji madini.Serikali ina share 25% na wachimbaji wageni 75%.

Sasa unajiuliza, hivi mwizi nani? Na aliyekamatwa nani? Je share holder anaweza asijue exportation ya minerals mpaka walinzi wa airport wawakamate wahusika na madini kilo 19.5 sawa na kiroba cha unga wa sembe?

Sasa mtu anakwambia ni kilo 19, hivi mtu huyu anatuona wajinga sana kwa hizi porojo za kupika kama hizi, ninadhani taarifa hii imetolewa kwa mkakati fulani, ama watu wasifuatilie matokeo ya uamuzi wa Mahakama HURU huko Kenya, mtawapata wajinga tu, nao tutawasaidia wasilishwe hizi ngano.....

Kwakuwafungua zaidi nikuwa, thamani ya almasi kwa karat moja tu inafika hadi dola elfu 5, kilo moja ina karat 10,000

i.e 19.5x10,000x5000$x2230tsh= trillion 2.175 na siyo billion 32 tulizoambiwa.

Tunaitaka katiba ya Warioba na sio porojo...
.

Na Yericko Nyerere

View attachment 579993
Yericko, 'IF WISHES WERE HORSES BEGGARS WOULD FLY'
 
Huyu Yeriko ni mbumbumbu kwenye eneo hili, anakurupuka ili mradi apinge kama ilivyo ada ya chama na bongo zao. Kipimo cha karati ni kwenye kuthaminisha mng'ao au ubora wa almasi, mwisho wa siku uzito pia humata. Au uniambie almasi ina thamani sawa ikiwa karati sawa bila kujali ukubwa au udogo wake. Kweli wajinga ndio waliwao. Au wangepima na waanze sema kuna mawe 1000 na kila moja lina carat hii hii na hii? Wewe kipimo chako bamia, endelea kulima bamia dogo.
ukielewa sentesi hiz ndo utajua anachomaanisha huyu jamaa,
mtu kanunua nyama yenye UZITO wa MITA mbili? au kakimbia umbali wa Lita tatu?
 
Hilo sasa ni kosa la alieripoti sio mkamataji? hivi huwa kwa mfano bbc waliporipoti kuwa everton wanacheza na timu ya kenya kwenye kijiji cha wavuvi jijini nairobi kosa lilikuwa la nani everton au media? Kama ni karati mwananchi aneripoti kg hilo sasa ni kosa la mwananchi sio aliekamata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utajitahidi sana.Ila hata ile ya makinikia ilikuwa crazy.Ni ngumu kujua walipata wapi bei ya kuchakachua, na si ya kuuza pekee, ni vigumu kujua kiasi gani ni mrabaha, kiasi gani fine. Kile kiasi kilikuwa % nyingi sana. Kuna katabia hata TRA wanacho kutaja no wapendazo tuu.
 
Tatizo hiyo sio fani yako hujui upatikanaji wa madini, wiki hii unaweza kuzalisha mpk x3 ya mwezi ujao miamba inabeba madini kwa namna tofauti tofauti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nchi hii hakuna msomi ambae sio mjinga, Yaani Unaulizwa, jua linachomozea Magharibi? We unajibu kwakusema, unajua vitamini D ni madini yanayopatikana kwenye, hivyo ni vema watu waotee jua...
 
Aya wewe mbeba mikoba wa Lowassa ulieshinda unamtusi mitandaoni baadae ukakubali kula matapishi yako leo umeoneshwa Almasi bado unaswali ama umekubali kula matapishi yako tena?? manake uligeuka mtaalam wa madini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari ya kilo 19.5 za ALMASI uwanja wa ndege Dar ni uongo wa karne, au ni makosa ya mtoa taarifa kwa wanahabari, au waandishi wa habari ni wajinga wakupindukia hawahoji jambo wao wakipewa umbeya wanaandika tu.
Duniani Tz ndio wazalishaji wa Almas, Hatuna almas duniani inayopimwa kwa "kilo".

Alma's inapimwa kwakipimo cha karati (Carat) na Alma's Kubwa kabisa ina cheza kwenye karat 350 tu, yaani saizi ya yai la kuku tu.
Kampuni iliyotajwa katika wizi huo ni mbia na Serikali ya Tanzania katika biashara ya uchimbaji madini.Serikali ina share 25% na wachimbaji wageni 75%.

Sasa unajiuliza, hivi mwizi nani? Na aliyekamatwa nani? Je share holder anaweza asijue exportation ya minerals mpaka walinzi wa airport wawakamate wahusika na madini kilo 19.5 sawa na kiroba cha unga wa sembe?

Sasa mtu anakwambia ni kilo 19, hivi mtu huyu anatuona wajinga sana kwa hizi porojo za kupika kama hizi, ninadhani taarifa hii imetolewa kwa mkakati fulani, ama watu wasifuatilie matokeo ya uamuzi wa Mahakama HURU huko Kenya, mtawapata wajinga tu, nao tutawasaidia wasilishwe hizi ngano.....

Kwakuwafungua zaidi nikuwa, thamani ya almasi kwa karat moja tu inafika hadi dola elfu 5, kilo moja ina karat 10,000

i.e 19.5x10,000x5000$x2230tsh= trillion 2.175 na siyo billion 32 tulizoambiwa.

Tunaitaka katiba ya Warioba na sio porojo...
.

Na Yericko Nyerere

View attachment 579993

Nadhani wewe mambo ya mahesabu yalikupiga sana chenga, unaweza ukabadili kg kuwa tani, unaweza kubadili km kuwa maili nk hivyo hivyo unaweza ukabadili karat na kuwa kilo. usianzishe uzi kama hujui namna ya kubadili vipimo achia wasomi wachangie maada nyeti kama hizi.
 
Tatizo LA vijitu kama Hivi ni kujiona vinaakili na vinajua kuliko watu wengine mwisho Wa Sikh vinadharirika
 
Huwezi kumuona tena hapa mpaka apate kiki nyingine. Huyu jamaa ni mmoja wa matahira wanaoliharibu jina mzee Nyerere. Bora ajiite Yericko Kiboko anapoandika upuuzi wake kuliko kujiita Nyerere. Maana akiandika Kiboko angalau wachache watamfahamu na hawataunganisha na jina la baba wa Taifa hili.
 
Hii habari ya kilo 19.5 za ALMASI uwanja wa ndege Dar ni uongo wa karne, au ni makosa ya mtoa taarifa kwa wanahabari, au waandishi wa habari ni wajinga wakupindukia hawahoji jambo wao wakipewa umbeya wanaandika tu.
Duniani Tz ndio wazalishaji wa Almas, Hatuna almas duniani inayopimwa kwa "kilo".

Alma's inapimwa kwakipimo cha karati (Carat) na Alma's Kubwa kabisa ina cheza kwenye karat 350 tu, yaani saizi ya yai la kuku tu.
Kampuni iliyotajwa katika wizi huo ni mbia na Serikali ya Tanzania katika biashara ya uchimbaji madini.Serikali ina share 25% na wachimbaji wageni 75%.

Sasa unajiuliza, hivi mwizi nani? Na aliyekamatwa nani? Je share holder anaweza asijue exportation ya minerals mpaka walinzi wa airport wawakamate wahusika na madini kilo 19.5 sawa na kiroba cha unga wa sembe?

Sasa mtu anakwambia ni kilo 19, hivi mtu huyu anatuona wajinga sana kwa hizi porojo za kupika kama hizi, ninadhani taarifa hii imetolewa kwa mkakati fulani, ama watu wasifuatilie matokeo ya uamuzi wa Mahakama HURU huko Kenya, mtawapata wajinga tu, nao tutawasaidia wasilishwe hizi ngano.....

Kwakuwafungua zaidi nikuwa, thamani ya almasi kwa karat moja tu inafika hadi dola elfu 5, kilo moja ina karat 10,000

i.e 19.5x10,000x5000$x2230tsh= trillion 2.175 na siyo billion 32 tulizoambiwa.

Tunaitaka katiba ya Warioba na sio porojo...
.

Na Yericko Nyerere

View attachment 579993
Uungwana ni kukiri kuwa ulikusudia kupotosha au hukujua unaloandika
Kisha omba moods wafute huu uzi wako
Mwisho nakushauri achana na insinuating Tz ya leo sio ile mliyozoea kuspin kila headlines zinazotreand kuisifia Serikali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom