Nasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Hata uweke nini, Hilo tayari tunajua, Tumeshasema wanasoka ni Ally Mayai Tembele!Nasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Hahahahaaa! Sasa kwa nini msiende kubishana kwenye kampeni? Unamangamanga kumchafua mtu Ili iweje?Nasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Mwanzoni umesema unamjua vizuri.......mwishoni una malizia hujui hiyo division 0 ni ya form 4 au 6......umetumwa wewe.Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza tff??
Mkibisha hii naleta jingine.
Ila amecheza mpira kote taiga na yanga katika kiwabgi cha juu.ansujua Mpira..n MTU sahihNikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza tff??
Mkibisha hii naleta jingine.
Huyu ni muhitimu wa Degree Na alikua Rais wa Chuo cha CBE Dar..
Siasa za majitaka hizi.
Alifeli ana decision 0 hawezi kuongoza TFF..msituletee mambo ya abajalo Sinza Hapa.tff ni kitu kikubwa.