Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Ushaongozwa na huyo aliefaulu mbona katuaribia soka letu
Safi mkuu,duhhh,kula like,maana kuna watu akili zao.ni zaidi ya ZeroKwani mtu akipata zero ndo hawezi kuongoza? Mbowe wa Chadema alipata zero....Ole Sendeka wa CCM alipata zero na wote hao wanaongoza vzr tu so tutegemee mazuri toka kwa Ally Mayay
Kwa kelele zile za Julio mwerevu atanga'amua tu kuwa kuna kitu anaficha (nayo ni ELIMU). Pole yakeJulio kaishia la Saba na Mayai ana Yai form4 kwa hiyo Julio lazima amuheshimu Mayai kielimu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Makongo alipata division 'zero' form sixNikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.
Makongo alipata division 'zero' form six si Jitegemee?
Hao waliopata 1 za 3, na 7. Hao maprofesa wamelitendea nini Taifa hili zaidi ya kuliharibu. Hao wasomi unaowataka ndiyo sababu Msukuma anawatukana kila siku, hivyo tu kuvimbisha matumbo.Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.
Kwani Hao waliofaulu form 4, form 6 hadi kupata digrii wamefanya nini?zaidi ya ufisadi,kufungia wenzao na kuwanyima watu haki zao.Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.
S ashatusiti hakitumiki tena kile cha zeroSasa ni muda TFF kuongozwa na Ally Mayai Tembele
Ali mayai tembele alisoma ununio Islamic seminary.Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.