Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

watu wapuuzi sanaa, jitu linakwambia mkibisha analeta mengine hahahaahah dunia itoe tuzo kuna watu wana vipaji vya kuchukia, yaani kuna watu hata uwajui ila wanakuchukia hatari.
Mkuu, mtoa mada yupo kazini, hafu hajui hata namna ya kuwasilisha mada...
Malinzi ndo kawatuma Wajinga wajinga hivi wake kuchafua opponents wake humu!!?
 
Atoe vyeti original.. Hapati uongozi kwa namna yeyote Leo tumerusha la vyeti..stay tuned kesho tunabamiza tena..

Sio tunashinda kimkakati.. Sie tumesoma buana..mnatuletea elimu ya kuunga unga
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Pu.mbavu kabisa,yaani kuna uhusiano gani wa mtu kupata zero na kuongoza mpira?Hiyo zero aliipata kwenye mazingira gani?Zero ya Six unaweza tu kuipata na haimaanishi huna akili!Unless ukiwa na zero upstairs ndipo utashindwa kujua hili.Kampeni dhaifu kabisa hii,na utakuwa umelenga wapu.mbavu wenzio
 
Hizo propaganda uchwara haziwasaidii wapiga debe wa Malinzi.Kiufupi tunamtaka tu Ally Mayay,hata kama alipata zero kuanzia Vidudu,Chekechea,Nursery,primary,shule ya msingi,secondary na chuo.

Mayay saaaaaafiiiiiiiii!!yaani hata jina tu linajieleza,"Mayai".
 
Back
Top Bottom