engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,428
wana jf ktk hili la burudani nampongeza dogo ALLY KIBA kwa kufanya vizuri ktk nyimbo mpya aliyoshirikiana na R KELLY ndani ya chikago,kitu kipo powa,huwezi amini kama ni yule ALLY KIBA WA USINISEME,ndani ya hiyo nyimbo yupo shemeji yetu AMANI,kweli AFRIKA MASHARIKI TUPO JUUU.
KAZA BUTI ALLY KIBA,kwani unaweza na umedhihilisha ktk hii nyimbo
mapinduziiiii daimaaaaaa
KAZA BUTI ALLY KIBA,kwani unaweza na umedhihilisha ktk hii nyimbo
mapinduziiiii daimaaaaaa